Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,179
- 1,502
Huwenda hii ndio animation itakayouza Sana mwaka huu na Kali pia
Imesetiwa na director Kyle Balda
Ndan ya studio kuna watilia sauti magwiji kama Dolph iandeni, Michele yeoh na Claud Van damme
Budge yake imetumia kiasi ya dollar 80 milion kuitengeneza hii animation na mauzo ni dollar 905.1 kutoka Box office [emoji2937]
Nimeichek hapa Ni Kali mno kuna funny action yaan unacheka na burudan nyingi vile viminion ongea Yao ni ni shida pank you [emoji16][emoji16] mpaka nimehairisha kwenda kumwagilia Moto [emoji16]
Naipa rate 10/10 [emoji41]
Netnaija.animation.com tukaserereke huko