Mwaka jana Ngowi alibuni jezi za Yanga ya Nyumban ile Kijan akaharibu sana
Mwaka huu the same Jezi ya Nyumban kaharibu(tusiogope kusema ukweli wanayanga ameharibu)
Mwaka Jana Vunjabei alichelewesha Jezi ya Simba mpk siku tatu kabla ya Simba day tena akataka azindue wakamzuia na kumwamuru aachie jezi ziuzike siku ya Simba
Mwaka huu tena kafanya ujinga ule ule
Hebu tusimame kwa pamoja wote tuuongee ukweli bila wote hawa ni vijana wanaaminiwa wanatuharibia vijana kuaminiwa