Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Wakuu nimeanzisha uzi huu kuulizia nyimbo yoyote na kuweka link za kudawnload hapa
karibuni
karibuni
Wakuu nimeanzisha uzi huu kuulizia nyimbo yoyote na kuweka link za kudawnload hapa
karibuni
Zoa Zoa. By East African Modern TaarabOhy me nahitaji ile taarabu..humpati huyo.. Utasota sana humpati huyo... Full audio..
Itakuwa poa sana
Hiyo nayo ni Taarab?Mwenzenu Mimi natoka morogoro,najivunia kwetu mji kasoro bahari.
Lazima nitarudi,hata nikienda mbali,kwa vile ndugu zangu Moro wananisubiri.Inaitwa Moro by afande sele
Sent using Jamii Forums mobile app