18 years ago today, Rihanna released her debut single ‘Pon De Replay.’
Launching one of the biggest music careers in history, the classic peaked at #2 on the Billboard Hot 100 and in the United...
Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
11 years ago today, Katy Perry released ‘Wide Awake.’
The track became the eighth Top 3 hit from the ‘Teenage Dream’ era in the United States, peaking at #2 on the Billboard Hot 100. It earned a...
Katika pitapita zangu za kuangalia animation,nimekuja kuona animation nyingi za disney ziko very emotional.Some huwa wanacry kabisa hasa at the ending,ki ukwel mpaka sasa naweza kusema "THE WALT...
nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo.
Nisiwachoshe.
maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara...
Kaka yangu @harmonize_tz ni mimi kaka yako kabisa kutoka Kusini naitwa BABA BOSI AU BABA MTAKATIFU
Staki kuongea leo ila Nataka kusema,tofauti kati ya hayo ni Kwamba Kusema ni ajira kuongea ni...
Wimbo wa Ferooz maarufu kama “Wema wangu umeniponza” ni wimbo unaosimulia namna dhamana ilimponza mtunzi. Ferooz anamuwekea dhamana rafiki yake ambaye alikamatwa kwa kosa la jinai. Baada ya...
7 years ago today, Ariana Grande released her third studio album ‘Dangerous Woman.’
The Grammy-nominated album spawned hits like ‘Dangerous Woman,’ ‘Into You’ and ‘Side To Side.’ It has amassed...
Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo.
Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica.
Naombeni mnijuze, haya makundi yana...
Hii ni story fupi ambayo imeombwa na bwana Gily imfikie Leejay49 pia ipite kwa hawa vijana kama mashahidi Johnnie Walker na mshamba_hachekwi
Stay tuned namaliza verse niachie ngoma comment...
Mziki wa Hip Hop unafungamanishwa na ugumu yaani u-hardcore, nyimbo nyingi za Hip Hop zinapewa sifa ya kuibadilisha jamii kifikra.
Lakini kwa bahati mbaya sana, wasanii wengi wa mziki wa aina ya...
Ilikuwa siku ya jumamosi nikiwa sina hili wala lile, nikasema acha nishike simu niingie kwenye contact list yangu mana kuna upwiru ulikuwa unanikaba koo.
Baada ya kushusha shusha nikakutana na...
RIWAYA : I WAS WRONG
SEHEMU YA 1
MTUNZI : PATRICK.CK
CONTACT : 0764294499
â Mabibi na mabwana sasa ni wakati wa
kufungua shampeni.Mbele yetu hapa tuna
chupa tano za shampeni. Shampeni ya...
Simulizi: AJIRA TOKA KUZIMU
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Aliitazama nchi hii kwa mbali sana, aliyekuwa mkuu wake alimuonyesha kwa kutumia kidole...