A crew member working on the set of Marvel's "wonder man" series has sadly passed away after falling from the rafters.
"Our thoughts & deepest condolences are with his family, friends and our...
Kama kisemavyo kichwa cha habari hakuna channel nayopenda kuangalia kama investigation discovery napenda sana kuangalia zile documentary ya crime ambazo zinatokea sehemu tofauti tofauti marekani...
Ilikua usiku wa manane simu ikaita, na mara nyingi namba za nje ya nchi inamuwiaga vigumu kupokea..Akapokea na moja kwa moja sauti akaitambua ni ya nani""Safari hii mpigaji anazungumza vizuri...
Frank Farian (18 July 1941 - 23 January 2024), artist, producer, music executive, and father of artist development and music brand marketing. For the benefit of Gen Z, unfamiliar with this music...
HII SIMULIZI NIMEISOMA IKANIVUTIA NIKAONA NISHEE NA WATAKAOTAKA KUISOMA.
Haina arosto.
Haina malipo.
Simulizi: Let's Call It A Night
Sehemu Ya Kwanza (1)
Leo ninaianza hadithi hii mpya ambayo...
Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee.
wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi.
Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa...
Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye...
JASMINE .
MTUNZI BEBAS CUTELY
SEHEMU YA 1 .
BOOKING 0756748557 .
Majira ya usiku kwenye nyumba moja kubwa sana mjini ambayo iliyopo karibia na bichi . Nyumba hiyo walikuwa akiishi wadada wengi...
Mke wangu mimi ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasbu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati...
Baada ya kumaliza kumshukuru Maanani Muumba Mbingu na ardhi. Nikapata kikombe cha kahawa, nikatafakari yale yangu ya siku na ratiba za hapa na pale lakini akili ikanisukuma kusikiliza kidogo...
Muendelezo wa john wick bado ni moja ya movie nazozipenda sana sio mamilion ya watu wanavutiwa na hii movie.
Kilichonivutia kwenye hii jamaa sio insane wala tributal martial art lakin anapiga kwa...
Mwandishi: J.K.kiimbila
MFALME BINTA NA RAIA ZAKE _1
Hadithi hii inaanza Zama za Giza _ jina la kukebehi katika Afrika. Wakati wanadamu walipoabudu miungu wengi lakini wakaendelea kuamini juu ya...
Lawyer wa kimexico ambae familia yake iliuliwa na boss wa kundi la madawa ya kulevya na uharifu anaamua kuungana na task force moja ya marekani huku yeye akiwasaidia intel za kuangusha drug...
Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality.
Harmonize...
Nyie watu wapenzi wa movie aloangalie hii achambue ni kama inatisha hivii na ina code kibao hivi wachambuzi mkuje tuchambue hii movie sio mpira tu [emoji12]