Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenye wimbo huu Full iwe Audio Au Video Naomba autume umeimbwa na Apostle Ng'ang'a toka Kenya kama sijakosea. Nimejitahidi kutafuta uliokamilika nimekosa.
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kati ya nyimbo nilizoziskia kitambo na bado zinaskilizika mpaka leo ni wimbo wa huyu jamaa aisee. Huu wimbo ni kitambo ila unaweza ukasema hii mistari kaiandika leo, vipaji vingi vimepotea bongo...
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Paul Walker Muigizaji wa Marekani, Paul Walker aliyekuwa akiigiza kwenye filamu ya Fast & Furious amefariki dunia kwa ajali ya gari California. Msemaji wake ametoa taarifa ya kifo chake kupitia...
2 Reactions
55 Replies
11K Views
Wangap mnaikubuka hii movie dilwale dulhia lejeynge binafsi sijaona mpaka leo movie Bora ya love story kama iyo hasa ma song yake alafu kulikua na ka Alam. Fulan hv sharukhan alikua anapenda...
1 Reactions
1 Replies
607 Views
Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa...
3 Reactions
5 Replies
856 Views
Bila kupoteza wakati. Nachelea kuwaletea cluh bangers kali ambazo mtu yeyote mwenye akili timamu akizisikia lazima aruke. 1. Notch_Nuttin no go so 2.sean Paul _ everblazing 3.t.o.k_ gal u a lead...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi: TID -zeze Profesa Jay ft...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
1. Sitaki Demu - Juma Nature Nature alitoa kibao hiki mara baada ya kugombana na mpenzi wake Sinta 2. Inaniuma Sana - Juma Nature Chanzo cha wimbo huu ni kama ilivyokuwa hapo juu, Nature...
11 Reactions
36 Replies
7K Views
Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/...
3 Reactions
0 Replies
498 Views
Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
..
5 Reactions
8 Replies
835 Views
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini. Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kenya, Uganda na Tanzania. Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi. It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own. Kwanini kukopy.. Embu sikieni wimbo...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Tamthilia ya MICHAKATO inaonyeshwa CLOUDS TV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 2.00 Usiku na kurudiwa kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 5.00 Asubuhi. Tamthilia hii ya MICHAKATO ni...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Tangu enzi za Mbowe Hotel na baadae Billicanas ile Club iliwafanya Wakuja wapate Ustaarabu wa mjini Na uzuri wa Bills hata bavicha na UVCCM waliunganishwa na Ustaarabu wa mjini na kwahiyo Itikadi...
10 Reactions
6 Replies
719 Views
Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache:
1 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari wakuu, naomba mnisamehe kwa kuwa kimya sana, majukumu ya hapa na pale. Kama kawaida naomba kuleta uzi kuhusu jamii zetu. Leo nimeona ni vyema nikazungumzia tasnia yetu ya filamu hapa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…