Huu wimbo kitambo sana ila kama umetungwa leo aise

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,177
Kati ya nyimbo nilizoziskia kitambo na bado zinaskilizika mpaka leo ni wimbo wa huyu jamaa aisee. Huu wimbo ni kitambo ila unaweza ukasema hii mistari kaiandika leo, vipaji vingi vimepotea bongo sijui shida ni nini kwa kweli.

Msikilize hapo chini uone uandishi wake na jinsi anavyojua kupangilia mashairi mstari baada ya mstari. Tume-miss sana ladha na michano ya aina hii aisee. Big up sana.


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom