Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

'Rapa' kutoka nchini Marekani KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya 'Donda Academy' iliyopo Los Angeles, kwa ubaguzi na unyanyasaji...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Inakuwaje wanaJamiiForums Najua wanaJamiiForums mpo wakali wa movies humu, Mimi bwana Fene napendelea sana movies zilizo serious lakini zinakuacha ukiwa ni mwenye kucheka mwanzo mwisho...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
  • Poll Poll
2 Reactions
0 Replies
515 Views
igwe lele le igwe igwe lele le Jina la msanii silijui msaada mwenye kujua
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni siku ambayo Cercei alienda kusikiliza hukumu yake na mfalme ambae alikuwa ni kijana wake akafanya maamuzi kuwa mama yake ana makosa na kesi yake itaamuliwa sio kwa trial by combat. Hii...
3 Reactions
5 Replies
605 Views
LOVE JUAKALI ALIVYOMLIPA WEMA MWANAMKE MWENZAKE ALIYEDAI HAMPENDI KWASABABU ANA SURA NA UMBO BAYA. Unaweza kushangaa! unaweza usiamini lakini watu wema bado wapo! kama matukio yanavyojieleza...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wadau wa Muziki natumai mmeamka salama. Wapenzi wa Muziki Aina ya Hip Hop nina imani mnaitambua vyema Historia ya Muziki huu, Muziki huu Asili yake ni nchini Marekani, lakini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
" No one care who i was until i put the mask" " Peace has cost your strength, Victory has defeated you" " You think darkness is your ally..." " I was born in it, molded by it" Ladies and...
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Habari zenu wandugu? Ni kitambo kidogo sasa hatujakutana kwenye hiki kijiwe chetu cha movies kutokana na mambo ya hapa na pale lakini natumai kila kitu kipo poa! Pasipo kupoteza muda, leo...
32 Reactions
327 Replies
34K Views
Weka mbali na watoto!
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau natafuta mno huo wimbo, nilikuwa nausikiliza sana nikiwa mdogo na enzi hizo Ukimwi ukiwa kwenye peak yake. Huu wimbo sijui uliimbwa na nani na nimejaribu kuusaka sana bila mafanikio. Mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Alitoa wimbo unaitwa " Jesus Walks" baadae akaanzisha kundi la muziki wa injili na akawa anafanya kitu kama huduma hivi kiasi cha kupelekea mashabiki wake kuanza kumuita " Bishop Kanye" Leo...
7 Reactions
121 Replies
5K Views
Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha. Ila kuna suala moja lanifikirisha sana. Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Upendeleo katika utoaji wa tuzo ni aina ya Rushwa ambapo watu au makundi hutumia hongo au faida fulani kwa majaji au wapiga kura ili kuhakikisha kwamba wanatunukiwa tuzo katika tasnia ya sanaa...
2 Reactions
2 Replies
833 Views
Hivi hili linawezekanaje? Yaani [emoji2957][emoji2957][emoji2957]. Kibinti kidogo chenye miaka 22 kimechukua Grammy ila Alikiba ana miaka. 40+ hana Grammy hata moja huu si Uchawi!
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
2 Reactions
26 Replies
2K Views
1: Jason Bourne vs Mission Impossible 2: Into The Blue vs Fool's Gold 3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War. 4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror 5...
1 Reactions
4 Replies
808 Views
Na hiki ni kisa kama nilivyosimuliwa na Magreth Haule, mwanamke aliyewahi kuhudumia shule moja ya msingi (English Medium) kata ya Mbezi Juu, Dar es salaam...
32 Reactions
2K Replies
225K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…