Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu. Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
4 Reactions
89 Replies
3K Views
Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi &...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwenye maneno yafuatayo weka:- Kisima = nchi. Mvua = shida/changamoto. Bwawani = ughaibuni. Maji = Mali za umma. Dada Rukia= 1. Mafisadi 2. Waarabu/mabeberu Kuvunjika ugoko= weka tafsiri yako
0 Reactions
3 Replies
437 Views
Kesho saa 4 kamili asubuhi mzingo mpya, episodes 3 za kwanza zinakua liva amazon prime
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Katika baa moja nchini Marekani aliingia mwanamme mmoja MZUNGU na kukuta bar ina watu wengi sana na imejaa WAZUNGU TUPU kasoro mmama mmoja ambaye alikuwa BLACK..yule jamaa baada ya kuingia akasema...
4 Reactions
3 Replies
663 Views
nimeitafuta sana lakini napataje hii series ya siri ya mtungi kama unafahamu website yeyote naweza pakua nifahamishe tafadhali Monday[emoji110]
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mdororo au anguko la HopHop Tz!? Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu". Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
One blow only and there goes the terrorist
10 Reactions
113 Replies
4K Views
Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK. Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia. Kabla nilijuona ni mtu nisiye na...
1 Reactions
6 Replies
555 Views
SURA YA KWANZA Sakarati mauti ya Kapteni Wandawanda Jijini London, Uingereza Marafiki, ndugu na jamaa wa karibu wa Kapteni mstaafu Wandawanda wakiwa wamegubikwa na nyuso za huzuni, walionekana...
7 Reactions
240 Replies
53K Views
Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊 Ukipata muda zisikilize
4 Reactions
33 Replies
2K Views
SASHA MLINZI WA NAFSI. Sehemu ya............1-2 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI... Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya...
11 Reactions
230 Replies
77K Views
Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubari zaidi 1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders ...
1 Reactions
16 Replies
862 Views
kuna series nyingi zinazo toka ila hii series inatisha ila ina ujumbe .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
𝐁𝐔𝐑𝐈𝐄𝐃 𝐏𝐚𝐮𝐥 𝐂𝐨𝐧𝐫𝐨𝐲 𝐧𝐢 𝐦𝐦𝐚𝐫𝐞𝐤𝐚𝐧𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐝𝐞𝐫𝐞𝐯𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐩𝐮𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐚𝐫𝐞𝐤𝐚𝐧𝐢 (𝐂𝐫𝐞𝐬𝐭𝐨𝐧 𝐑𝐨𝐰𝐥𝐚𝐧𝐝 & 𝐓𝐡𝐨𝐦𝐚𝐬) 𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐬𝐤𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐡𝐮𝐤𝐨 𝐧𝐜𝐡𝐢𝐧𝐢 𝐈𝐫𝐚𝐪. 𝐒𝐢𝐤𝐮 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐮𝐤𝐮𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐲𝐚...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
SIMULIZI: ELIZA NA NDOA YANGU SEHEMU YA KWANZA (01) middotz +255 655 969 973 Ilikua 2012 nilipata kumaliza kidato cha 4. Nilijijua kuwa nitafeli tu kutokana na sababu ambazo ndugu na mama yangu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni...
16 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom