Taja 'horror movies' zenye ubunifu mkubwa na wa pekee

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,557
18,881
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake.

Script writer wa hii movie alitumia ubunifu mkubwa na very unique sana pale ambapo watu wanakufa kwa matukio ya kutengeneza bila kuuliwa physical na mtu yoyote Jambo lingine linaloleta mvuto kwenye hii movie ni aina vifo wanavyokufa watu.

So na nyinyi tajeni horror movies zenu zenye ubunifu na mvuto ambazo zipo unique ukiondoa kutisha kwake kama nilivyoeleza kwa kifupi sio unatujia sijui wrong turn Mara course of llorona alafu unasema Zina ubunifu na unique na mvuto hatutakuelewa utakuwa uwelewi maana ya haya maneno ubunifu, unique na mvuto taja horror movie yako lakini lazima ziwe na haya mambo matatu.
 
Kwanza ndugu, Final Destination sio Horror movie.

Anyways, ni kweli kuna ka-ufanano fulani kwenye stories za horror kiasi kwamba waweza toka kwenye movie moja kwenda nyingine ukaona kinachobadilika ni actions tu ila story ni the same lakini waweza tazama hizi, angalau zina ideas unique.

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Aisee acha niishie hapa kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo no 1 nimeiona ni Kali Sana mzee baba umejitahidi Sana kutiririka na umejibu vizuri Kama mada inavyosema
Kiufupi umeielewa vizuri mada maana wengine humu ni bogus hata Kama umemuelezea vizuri majibu atakayokupa unashangaa inabidi ujiulize itakuwa ana stress Nini?
Hao huwezi kuwaepuka mkuu, wapo kila thread na hata kwenye maisha kwa ujumla.

Mimi huwa nawashangaa tu ambao hawapendi kutazama horrors. Aisee! Aisee! Hawajui utamu wake. Kusisimkwa nywele, mapigo ya moyo kwenda kasi na kuona ruweruwe ndo raha ya horrors. Tena naitazama nikizima taa nyakati zangu za usiku ...

Bonus: Movie ya Goodnight, Mommy! - niliipenda kwa kisa chake ambapo mama mmoja anapatwa kufunikwa uso mzima na bandeji baada ya kufanyiwa upasuaji wa uso. Mama huyo anarudi nyumbani kuendelea na maisha yake kama kawaida lakini watoto wanaanza kuhisi yule si mama yao kutokana na matendo yake, basi na hivi uso wa mama hauonekani basi inakuwa shida taslimu!

Baadae ndo inakuja kugundulika kuwa mama huyo alishakufa hvyo aliyepo siye! Na kama haitoshi hata mtoto mmoja aliye hapo nyumbani alishakufa ingawa mwezake anaendelea kumwona kutokana na mang'amung'amu na maruweruwe.

Na Raha ya kucheki horror movie ni usiku honest niliangaliaga siku moja mchana Wala sikuenjoy kabisa.
 
Kwanza ndugu, Final Destination sio Horror movie.

Anyways, ni kweli kuna ka-ufanano fulani kwenye stories za horror kiasi kwamba waweza toka kwenye movie moja kwenda nyingine ukaona kinachobadilika ni actions tu ila story ni the same lakini waweza tazama hizi, angalau zina ideas unique.

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Aisee acha niishie hapa kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko vizuri kwenye kuelezea, bila shaka utakuwa mtoto wa lufufu😂
 
Hiyo Get out nimeiona, jamaa anapigwa mnada wazee wanampandia bei pasipo yemwenyewe kujijua.
 
Hao huwezi kuwaepuka mkuu, wapo kila thread na hata kwenye maisha kwa ujumla.

Mimi huwa nawashangaa tu ambao hawapendi kutazama horrors. Aisee! Aisee! Hawajui utamu wake. Kusisimkwa nywele, mapigo ya moyo kwenda kasi na kuona ruweruwe ndo raha ya horrors. Tena naitazama nikizima taa nyakati zangu za usiku ...

Bonus: Movie ya Goodnight, Mommy! - niliipenda kwa kisa chake ambapo mama mmoja anapatwa kufunikwa uso mzima na bandeji baada ya kufanyiwa upasuaji wa uso. Mama huyo anarudi nyumbani kuendelea na maisha yake kama kawaida lakini watoto wanaanza kuhisi yule si mama yao kutokana na matendo yake, basi na hivi uso wa mama hauonekani basi inakuwa shida taslimu!

Baadae ndo inakuja kugundulika kuwa mama huyo alishakufa hvyo aliyepo siye! Na kama haitoshi hata mtoto mmoja aliye hapo nyumbani alishakufa ingawa mwezake anaendelea kumwona kutokana na mang'amung'amu na maruweruwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nyie hamna roho.

Nlianzaga kufuatilia horror kwa kuangalia apocalyto,saw,drag me to hell, hell riser enzo hizo lakini hata sikusisimka
Sasaivi nishakuwa mtu mzima hata wewe utishikeje mimi nakuwa najua haya ni maigizo tu kwahyo hainsisimui.
Bora niendelee na romcoms na scifi tu
 
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto ( idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake. Script writer wa hii movie alitumia ubunifu mkubwa na very unique sana pale ambapo watu wanakufa kwa matukio ya kutengeneza bila kuuliwa physical na mtu yoyote Jambo lingine linaloleta mvuto kwenye hii movie ni aina vifo wanavyokufa watu.

So na nyinyi tajeni horror movies zenu zenye ubunifu na mvuto ambazo zipo unique ukiondoa kutisha kwake kama nilivyoeleza kwa kifupi sio unatujia sijui wrong turn Mara course of llorona alafu unasema Zina ubunifu na unique na mvuto hatutakuelewa utakuwa uwelewi maana ya haya maneno ubunifu, unique na mvuto taja horror movie yako lakini lazima ziwe na haya mambo matatu.
Sijui kama watu wa series nasi tuna ruhusiwa kucomment.Nita comment any way.Mimi horror niliyo ipenda ni walking dead.Nimependezwa na ubunifu wake wa hali ya juu.Ukiachia mbali wale ma zombie walao watu,ina stori poa sana.Inaelezea jinsi ile hali ilivyo pelekea mpaka ku affect psychology yao.Ikawa mtu wa kawaida ni hatari zaidi hata kumzidi huyo zombie.Kila mmoja akawa ana fight for survival na ku protect watu wake,hivyo kuua ikawa sio ishu.Ukizingatia,chakula kilikuwa haba,hivyo ikawa ishu ya survival for the fittest.
 
This is so incredible, amaizing and very brilliant.I wish you could go on and on
Kwanza ndugu, Final Destination sio Horror movie.

Anyways, ni kweli kuna ka-ufanano fulani kwenye stories za horror kiasi kwamba waweza toka kwenye movie moja kwenda nyingine ukaona kinachobadilika ni actions tu ila story ni the same lakini waweza tazama hizi, angalau zina ideas unique.

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Aisee acha niishie hapa kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ndugu, Final Destination sio Horror movie.

Anyways, ni kweli kuna ka-ufanano fulani kwenye stories za horror kiasi kwamba waweza toka kwenye movie moja kwenda nyingine ukaona kinachobadilika ni actions tu ila story ni the same lakini waweza tazama hizi, angalau zina ideas unique.

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Aisee acha niishie hapa kwa sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo vizuri kwenye ku narrate, umenifanya nikatafute hizo movies...
Endelea na nyingine Kama huto jali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nawashangaa tu ambao hawapendi kutazama horrors. Aisee! Aisee! Hawajui utamu wake. Kusisimkwa nywele, mapigo ya moyo kwenda kasi na kuona ruweruwe ndo raha ya horrors. Tena naitazama nikizima taa nyakati zangu za usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli zimenishinda kuangali. Nafahamu ni uongo lakini naogopa sana. Hata hii movie ya Rambo: Last Blood ingawa sio horror nimeiangalia kwa shida sana. Kingine, video za kweli za waarabu wanavyokata watu vichwa, kunawatu wanaangalia na wana discuss kabisa, lakini mimi siwezi kuziangalia kabisa.
 
Back
Top Bottom