Washindani wetu wa Miss-Tanzania ni hawa; picha nimezitoa kwenye tovuti ya udaku ya Shigongo pale http://www.globalpublisherstz.com. Ingawa najua kuwa kuna vigezo vingi vitumikavyo kumtafuta...
A cousin of mine sent me this,kaikuta kwenye moja ya social networks! Mtu kafunguka juu ya Wema!
And i quote
"Please have Wema read this
comment from me. Please watu mnaomjua mwambieni
aingie...
Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye...
Jamani nadhani mko poaaa wana member wenzangu
Habari ya mwakaa mpyaaaa??
Ningependa kufahamu kuhusu kile kipindi cha Irene uwoya au mamaa Krish kiitwacho PARADISE kilichokua kinarushwa hewani...
After a year of turmoil and scandal that
resulted in divorce, Khloe Kardashianand Lamar
Odom are officially selling their sprawling
Tarzana home for $5,499,000
2face got to LA, USA yesterday to see his wife and new born baby girl who was born on the 3rd of Jan,2014 .and being the romantic husband he is, he came with gifts which made Annie happy..she...
Peter Okoye and his twins brother Paul plan to have their white wedding together this year.
Though the date was not announced then, we have been hinted that the wedding will take place in Dubai in...
With her astonishing 47in pins, the British model is helping the nation inch ahead in the battle of the long-limbed beauties.
Miss Robertson, 20, decided to find out how she measured up after...
Wastara Juma. IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki', staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini...
Kwa muda sasa nimefatilia nyimbo za huyu msanii...nachelea kusema huwa namkubali sana katika uhandishi na vionjo vyake!!
Leo nimebahatika kuona video na nimepata audio yake...kiufupi video ni...
Penny ambaye ni mpenzi wa zamani wa Naseeb Abdul "Diamond" haonekani kujutia kitendo cha kumwagana na msanii huyo na badala yake sasa ameanza kuzipa uzito hoja za...
Kim Kardashian amerusha majibu kwa mahasimu wake, kuwadiss kuwa ana pesa nyingi.
Kupitia hii picha aliyoiweka, Kim amedhihirisha kuwa anapesa nyingi kwa kupiga pozi sehemu iliyopambwa huku...
Ule uzinduzi wa Blog ya Wananchi ya Mmiliki Le Mutuz,Le Baharia William Malecela uliofanyika siku ya Jumamosi tar.04.01.14 ULIDODA! Le mutuz ambaye mpaka leo ana "KULA KULALA" kwa Wazazi wake Mtaa...
Nicki Minaj ni mwanamziki asiyeona haya hata mara moja.
Mwanamziki huyu amerusha picha zake mpya katika mtandao wa Twitter.
Picha za kwanza Nicki ameonyesha mkono wake halafu tabasamu, picha...
Snura ameanza kudhihirisha kuwa anaweza kuvuka border. Hii ni baada ya mzungu mmoja anayejulikana kwa jina la Joan kutamani kufundishwa kudengua mauno kama vile Snura anavyofanya.
Mzungu huyo...
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.