Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Brazilian ace Ronaldinho showed once again that he has a thing for the ladies after he posted a swimming pool photo with five bikini wearing babes.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uamuzi wa kuwasimamisha b12,Adam Mchomvu na Diva sio wa busara kibiashara. Kipindi cha xxl kimekuwa na wapenzi wengi sana kutokana na chemistry nzuri ya mchomvu na b12. Hawa jamaa wanajua sana na...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakumbuka ile skendo iliyomkumba Nisha kuwa anaugua baada ya kuavya mimba? Sasa amejitokeza wazi baada kuwa kimya kwa muda mrefu kuhusu hili jambo. Nisha aka Salma Jabu amefunguka akidai kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana CF! Nimeona si vibaya tuone leo list ya wasanii bora wa filamu na sanaa za maigizo katika bara letu la africa kwa ujumla. list hii ni kwa mujibu wa konnectafrica.com na kwa...
1 Reactions
39 Replies
14K Views
Leo nilikuwa nacheki movie mpya ya JB inaitwa DANIJA, movie imechezwa na JB mwenyew,Adam kuambiana,Gabo na muhusika mkuu wa hiyo movie anitwa DIANA KIMARO, dah huyu demu ki ukweli yupo vizuri...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Kim Kardashian is an American Television fashion designer, model and top actress. Kim Kardashian is seen in the white Bikini with her friends.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Miraji Kikwete na Aima Mahmoud wakiondoka kwenye ukumbi wa Mlimani City baada ya kufunga ndoa yao jana. Picha na Florence Majani Kwa ufupi Sherehe hizo zilianza saa 7:00 mchana baada ya ndoa...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye...
1 Reactions
9 Replies
12K Views
Kimkardashian na beyonce wamekuwa marafiki kupitia waume zao, kanye west na jay Z,ila inavyoonekana urafiki wao sio wa kivile baada ya Beyonce kugoma kuwa matron wa ndoa yao inayotarajiwa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimeangalia kipindi cha mboni show siku ya leo jmos tar 18.1.14 hakika kilikuwa kizuri na nimekipenda wageni waaliku walijitahidi kuzungumzia mengi sana.Waalikwa ni George Masatu Dua Saidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kusikiliza album kadhaa, kuanzia ya Jay z Magna carter holy grail, Kanye west Yeezus, Kendrik lamar, na nyingine nyingi zilizotoka 2013 NA 2012. nimebaki sina cha kufanya isipokuwa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Heshima mbele, Wadau wiki liyopita huyu "mtoto mkubwa wa pili wa kiume" wa JK kaweka picha mbili za viongozi wabunge na mawaziri,Wassira na Komba katika ukurasa wake wa Facebook wakiwa wamelala...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Bongo Voice: JE UNAFAHAMU JB (Bonge la bwana) KATOKA WAPI??, ALIKUWA ANAFANYA NINI..?? SOMA HISTORIA YA MAISHA YAKE TANGU ALIVYOKUWA MPAKA ALIVYO SASA.
0 Reactions
1 Replies
6K Views
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang’anywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Rihanna msanii anayejulikana ulimwengu mzima kwa sauti ya kutoa nyoka pangoni wakati huu ameamua kupiga picha na gazeti la Vogue. Upigaji huu wa picha la gazeti hilo ulifanyika nchini Brazil...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Bongo Voice: WEMA, KAJALA, WOLPER NA MIRROR WACHENGUA CLUB 71 TEGETA DAR...!JIONEE PICHAZ HAPA....
0 Reactions
22 Replies
7K Views
The nominations for the 86th Academy Awards were announced Thursday morning. The nominees for best picture are “American Hustle,” “Captain Phillips,” “Dallas Buyers Club,” “Gravity,” “Her,”...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kim Kardashian shows off some adorable new photos of her seven-month-old baby girl North West during an appearance on The Ellen DeGeneres Show, airing on Friday. The 33-year-old reality star...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Back
Top Bottom