Paradise ya uwoyaaaaaaaaa

Paradise ya uwoyaaaaaaaaa

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,082
Reaction score
72,486
Jamani nadhani mko poaaa wana member wenzangu
Habari ya mwakaa mpyaaaa??
Ningependa kufahamu kuhusu kile kipindi cha Irene uwoya au mamaa Krish kiitwacho PARADISE kilichokua kinarushwa hewani clouds Tv je bado kinaendelea kurushwaa hewani??
Je ameshasaidia kujenga nyumba ngapi za waliokuwa wakituma barua kuomba msaadaa??
Ni hayo tu kiroho safi tu
Dinazarde
 
Last time kuona ilikuwa siku nyingi sana na kila nikiona

nakutana na marudio ya kipindi kile kile nilichoona hapo awali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom