KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery 'Mpoki' yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda...
Producer na CEO wa Bhitz Music Group, Hermy B ameandika barua ya wazi akielezea yaliyowahi kutokea Bhitz, uamuzi na mpango wao mpya.
Nikiwa kama CEO wa Bhitz Music Group na Producer ambaye...
Kuna nyimbo imeenea kwenye mitandao ya kijamii toka jana, ambayo watu wameibatiza jina la tororondo sijui, ukweli wa nyimbo hiyo siyo nyimbo oficial mana kuna mpaka baadhi ya watu wameileta humu...
Amani iwe nanyi wanajamii!
Kazungumzwa sana George Maratu wa ITV,vip kuhusu huyu jamaa wa kipindi cha zamadani pale TBC!? Mimi binafsi sielewi kuwa ni swaga au pozi kwenye kuongea kwake ila kwa...
Hatimaye Nay wa Mitego amezungumzia scandal iliyokuwa ikimhusu mchumba wake aitwaye Siwema ambaye mwezi uliopita ilisambaa video na picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akivishwa pete...
Siku chache zilizopita, Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond kabla hajabwaga manyanga alilalama kwenye vyombo vya habari kuwa Jokate ameingilia penzi lake kwa msanii huyo, tuhuma ambazo...
Manager na msemaji mkuu wa msanii maarufu wa filamu wema sepetu aitwaye martin kadinda , amefunguka kuhusu Team zinazoendelea uko IG. Hiki ndicho alichokiandika.
" Kusaidiana katika maisha ...
jamani naomba kuuliza hapa kati ya ruge mutahaba na kusaga nani ni mmiliki halali wa clouds fm?? maana hapa mimi huwa nachanganya je na yule kusaga aliyekufa ni nani? je na...
Check Out Hollywood's Top Earning Actors! kwa wale ambao kikristo hakipandi,hawa ndio waigizaji kumi bora wanaolipwa pesa nzuri hollywood
.
#10) Liam Neeson
With his action packed thrillers...
EXCLUSIVE: HUYU NDIYE BINADAMU ALIYETAJIRIKA KUFUATIA KUJIBADILISHA MWILI WAKE NA KUWA KAMA MJUSI HUKO KWA WENZETU.
Jina alilopewa na wazazi wake ni Erik Sprague, ingawa Ulimwengu unamfaham...
WASANII wa Bongo Movie, muziki wa dansi, taarab, maigizo na tamthilia wametangaza kuzunguka nchi nzima wakiwa na kamati ya Tanzania Kwanza Nje
ya Bunge Maalum la Katiba kwa lengo la kutangaza...
Ndani ya Bongo mambo Supa hapana
uongo
Ingawa sometime bongo chungu
kama si fongo
Nafanya makaratee kama machinga
mtraa wa Kongo
Na kimitindomitindo nakata ngebe
kimtimanyongo
Hapana...
Maneno yalikuwa yanasemwa mtaani na baadae ikajulikana kuwa ni kweli Kajala na Wema hivi sasa wapo katika ugomvi mkubwa tu, jambo ambalo Kajala mwenyewe alifunguka kuwa, Ndio tunaugomvi kama...
Sikupatii picha kajala jinsi unavyozimia uko ulipo , maana hii ni aibu kubwa sana imekupata. Binafsi nilivyoangalia kwenye kipindi cha Zamaradi jinsi unavyojitetea na kukana hadharani kutomjua...
Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara eneo la Kimara Mwisho ambalo kwa maelezo ya Madee...