Diamond atawamaliza mastaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond atawamaliza mastaa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Simba Mkali, Sep 22, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  DIAMOND.jpg hii picha alipiga morogoro na mastaa wa kike
   
 2. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sio atawamaliza bali atamalizwa. Shauri yake!
   
 3. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hao wadada ni kina nani??

  Wanaonekana wakienyeji sana.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Photoshop hyo!! ila jamaa ana mpunga wa kutosha so lazima atafute means ya kuzipunguza asipozipunguza zinaweza mpa kisukari na pressure bure!!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Kuna baadhi ya sehemu za mwili wa binadamu ukiziona ndipo unajua rangi halisi ya mhusika!. Mimi nilidhani mambo ya Calorlight (Karolaiti) na mikorogo ni kwa dada zetu tuu!. Na kwa wanaume ni wanamuziki wa Wakongomani tuu?!. Kumbe hata hawa wenzetu!. Angalia rangu ya mguu na uso!.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaaaaa itakua photoshop hyo maana navyojua mimi kwa rangi hyo ya juu ya diamond basi miguu ingekuwa meupe kuliko hapo coz mda mwingi inafunikwa.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Naona Sura ya Linnah na Rachel(Kizunguzungu na Brotherman)
   
 8. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hakuna photoshop hapo ni picha ya kweli, naomba radhi picha hiyo imepigwa Mbeya ndani ya hoteli ya Peace of Mind muda mchache baada ya wasanii hao kutoka kuogelea, mambo ya Fiesta hayo.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kama ni pic ya kweli basi diamond anaendekeza ngono sanaaa,ukitaka kujua mtu anaendekeza mechi angalia miguu ya diamond kwenye joint magoti yani imekwisha(membamba sana) yani supu yote imekwisha,apunguze kusimamia kucha.
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Hawa nao wana jipeleka wenyewe tu hawana lolote!
   
 11. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Ugoko wa domo kama mti uliokauka na jua!
   
 12. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ila kweli tumagoti ni tweusi saaana
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Mimi nilijua, utakumbushia jinsi gani JF itafungwa kwa kuingilia privacy ya watu. Kumbe ya Peter na Sam tu!
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Hao ndio masupastaa wa kibongo.
   
 15. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tujuzane hawa ni akina nani? huyo mwanaume ni nani? mbona yuko kama mcheza shoo wa KOFI OLOMIDE?
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Aisee Jamaa Ngoko zake zimekomaa kweli... Duh!!
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Jamaa nasikia ana mguu wa mtoto.
   
 18. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Miguu kama kuni za kuchemshia mbege
   
 19. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mkono wa kushoto wa Diamond umebonyeza sawasawa chakula cha mtoto!!!
   
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahaha
   
Loading...