Mtangazaji wa Zamadani-TBC

jacjaz

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
440
205
Amani iwe nanyi wanajamii!
Kazungumzwa sana George Maratu wa ITV,vip kuhusu huyu jamaa wa kipindi cha zamadani pale TBC!? Mimi binafsi sielewi kuwa ni swaga au pozi kwenye kuongea kwake ila kwa kifupi hafurahishi kama alivyadhamiria! Ni mtazamo tu
 
Jamani semeni yoooote lakini huyu kijana mimi huwa namzimia sana kwenye vipindi vya dini hususani akiwapo Kanisani na waimba Kwaya.
 
Ni kweli hana mvuto hata church, mbwembwe zake hazivutii zina boa sana.
 
Mlitaka a-copy kwa watangazaji wengine mnaowaita 'mahiri'.Ni style yake mumwache ataiboresha taratibu
 
Jamini ananata na kipindi chenyewe..ZAMADAMU..Akiitaji ujilaaaaambe lips had mate yakauke.
 
Back
Top Bottom