Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Amani iwe nanyi wanajamii! Kazungumzwa sana George Maratu wa ITV,vip kuhusu huyu jamaa wa kipindi cha zamadani pale TBC!? Mimi binafsi sielewi kuwa ni swaga au pozi kwenye kuongea kwake ila kwa...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Hatimaye Nay wa Mitego amezungumzia scandal iliyokuwa ikimhusu mchumba wake aitwaye Siwema ambaye mwezi uliopita ilisambaa video na picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akivishwa pete...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Siku chache zilizopita, Wema Sepetu ambaye alikuwa mchumba wa Diamond kabla hajabwaga manyanga alilalama kwenye vyombo vya habari kuwa Jokate ameingilia penzi lake kwa msanii huyo, tuhuma ambazo...
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Manager na msemaji mkuu wa msanii maarufu wa filamu wema sepetu aitwaye martin kadinda , amefunguka kuhusu Team zinazoendelea uko IG. Hiki ndicho alichokiandika. " Kusaidiana katika maisha ...
2 Reactions
159 Replies
18K Views
hii picha alipiga morogoro na mastaa wa kike
0 Reactions
44 Replies
14K Views
Ndo kama hivo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani naomba kuuliza hapa kati ya ruge mutahaba na kusaga nani ni mmiliki halali wa clouds fm?? maana hapa mimi huwa nachanganya je na yule kusaga aliyekufa ni nani? je na...
0 Reactions
32 Replies
21K Views
Check Out Hollywood's Top Earning Actors! kwa wale ambao kikristo hakipandi,hawa ndio waigizaji kumi bora wanaolipwa pesa nzuri hollywood . #10) Liam Neeson With his action packed thrillers...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
EXCLUSIVE: HUYU NDIYE BINADAMU ALIYETAJIRIKA KUFUATIA KUJIBADILISHA MWILI WAKE NA KUWA KAMA MJUSI HUKO KWA WENZETU. Jina alilopewa na wazazi wake ni Erik Sprague, ingawa Ulimwengu unamfaham...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Mnaofuatilia huo music, naomba jibu.
0 Reactions
35 Replies
13K Views
WASANII wa Bongo Movie, muziki wa dansi, taarab, maigizo na tamthilia wametangaza kuzunguka nchi nzima wakiwa na kamati ya Tanzania Kwanza Nje ya Bunge Maalum la Katiba kwa lengo la kutangaza...
3 Reactions
185 Replies
16K Views
Ndani ya Bongo mambo Supa hapana uongo Ingawa sometime bongo chungu kama si fongo Nafanya makaratee kama machinga mtraa wa Kongo Na kimitindomitindo nakata ngebe kimtimanyongo Hapana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Maneno yalikuwa yanasemwa mtaani na baadae ikajulikana kuwa ni kweli Kajala na Wema hivi sasa wapo katika ugomvi mkubwa tu, jambo ambalo Kajala mwenyewe alifunguka kuwa, Ndio tunaugomvi kama...
0 Reactions
31 Replies
12K Views
Sikupatii picha kajala jinsi unavyozimia uko ulipo , maana hii ni aibu kubwa sana imekupata. Binafsi nilivyoangalia kwenye kipindi cha Zamaradi jinsi unavyojitetea na kukana hadharani kutomjua...
5 Reactions
288 Replies
44K Views
Du namuangalia apa FNL EATV jamani uyu mtoto mkali jamani apa ata nyumba nahonga jamani
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara eneo la Kimara Mwisho ambalo kwa maelezo ya Madee...
3 Reactions
53 Replies
18K Views
Je unamkumbuka Monica Lewinsky mwanamke aliyawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton na kusababisha Rais kupigiwa kura ya turufu ya kutaka kumwondoa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na watu wengine kama Jose...
0 Reactions
59 Replies
14K Views
PICHA HII KAIWEKA DIVA KATIKA UKURASA WAKE NA KAMTAG BOB JUNIOR KATIKA PICHA HIYO JE NI KWELI DIVA ANATOKA NA BOB JUNIOR???? Yetu Macho
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Back
Top Bottom