MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.
Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha...
MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo , Aunt Ezekiel aka cheusi dawa anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte .
Kwa mujibu wa rafiki wa...
Kwa wale wapenzi wa muvi za kinaijeria za zamani bila shaka mtakua mnamkumbuka huyu muigizaji. Nilipenda sana filamu aliyocheza inaitwa IZAGA.
Sijui yuko wapi mwenye taarifa zaidi anijuze kwa...
wadau wa mziki wa hiphop ya kiTZ (siku hizi bongo fleva kwa ujumla wake)mtakuwa mnamkumbuka
huyu brother.he was an illest mc ever btwn 1995-2002.kipindi hicho nakumbuka nilikuwa O-LEVEL na...
Habari toka chanzo cha kuaminika kilichopo ndani ya kanisa la mchungaji huyo ni kuwa Gwajima hivi sasa ameshauza karibia robo tatu ya mali zake na kwamba moja kati...
haya jamani tuisomeni vyema hii habari na tuangalie jinsi gani mzee misifa anavyotaka kukwepa lawama na kutaka kujisafisha kwa madudu alioyafanya.
Zitto aandika kitabu kuhusu Amina...
NYOTA wa Bongo Fleva , Rehema Chalamila Ray C
ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha
maana kutoka kwa msanii mwenzake , Rashid Makwilo
almaarufu Chid Benz , ameibuka na kudai kuwa...
On her show's 'Hot Topics' yesterday, Wendy Williams dissed "Real Housewives of Atlanta" star NeNe Leakes for decorating her $10k Hermes Birkin bag with handwritten sayings she coined on the hit...
ILIBAKI kidogo mastaa wa sinema za Kibongo , Vincent Kigosi ' Ray ' , na Salum Mchoma ' Chiki ' , wazichape baada ya kutokea mzozo kati yao uliodumu kwa dakika tatu wakirushiana...
- Tarehe 2/8/2014 ninatayarisha bonge la bash LE Mutuz Instagram Party at Escape 1 Beach Club, wote mnakaribishwa isipokuwa wale tu walio followers wangu wa Instagram ndio wataingia bure baada ya...
BAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ' Dida, ' mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1, Ezden...
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu ( 25) aka mama ubaya, amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ' K' ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki.
Habari hiyo ya kuitwa mnafiki...
Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia...
Wakati akimpa mama yake, Sanura Kassim ' Sandra ' gari la Sh . milioni 38 huku akitawanya mamilioni ya fedha kwenye matukio mbalimbali , staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond...
Mfahamu mwanamitindo maarafu wa kiwango cha kimataifa Herieth Paul, ambaye ni raia wa Tanzania aneyeishi nchini Canada. Mwanamitindo huyu mwenye umri wa miaka 18 anafanya shughuli zake jijini New...
Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa...
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva , Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' hawamtaki kwa madai kuwa ana...
Mheshimiwa Mbunge wa viti maalumu Vicky Kamata amefaulu kuweka stress zote pembeni baada ya mipango yake ya kufunga ndoa kutibuka.
Ametunga wimbo wa kumkejeli aliyemtapeli kimapenzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.