Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza. Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa, vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na...
6 Reactions
380 Replies
56K Views
Wadau. Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga. Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato...
0 Reactions
68 Replies
27K Views
Kiukweli UKWELI siku zote unauma tena sana,lakini mimi nasema hivi, akupendae kwa dhati hukueleza ukweli juz ijuzi hapa watu walimfungia Diamond kibwebwe na matusi kibao kisa kumpa za uso wema...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Nani kaimba huu wimbo? jina la wimbo linaitwaje? nimeusikia mara moja tu kwenye redio...hebu nisaidieni verse niliyoshika Unajua Watoto wa MJINI MAPENZI Kwao ni Utani Leo Unamtekenya Kesho...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikua amshirikishe Jide lakini Jide akakataa kisa Machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku Machozi akampa shavu maunda Zorro. Je, wajua kuwa jina...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim, aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia. Taarifa kutoka mkoani Lindi zinasema Side Boy amekufa leo Septemba 29...
0 Reactions
75 Replies
24K Views
Wana jamvi sasa ni mwaka wa nne hajaonekana mtangazaji mahiri wa Star TV kutoka Arusha. Mtangazaji huyu alikuwa ni mahiri katika kipindi cha medani za siasa na hasa wakati wa uchaguzi alikuwa...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Gorgeous bride Jackie walking down the Isle All smiles & waiting anxiously! Guess they were nervous too I do & will love him till death do us part I do & will love her...
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Ninatatizwa kwakuwa sielewi Vigezo vya Msanii Kuteuliwa kuwa Msanii bora nchini Tanzania. Kwa maoni yangu yule dada wa kundi la Futuhi anayeigiza Kama bibi kizee kwakweli anastahili kufikishiwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtandao wa kimbea na habari za mastar wa marekan na ulaya (hasa wa hip hop) wa TMZ umeendelea kumnanga kijana chris brown na kuchokonoa kila anachokifanya in a very negative way ilimradi tu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wawili hao wana mtoto wa kike. Faiza amethibitisha kuachana na Sugu kwenye Instagram kwa kushare pia ya pamoja. “Mtoto wangu wa Faiza na Joseph ana fikisha miaka 2 kesho , nimeangalia kumbu kumbu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Why kila demu akiwa maarufu Anapiga kitaulo(kujichubua ambao wao wanasema kung'arisha ngozi) katika ambao sikutegemea kuwa anaeza fanya ni huyu kidot, japo nimesikia profile yake upstairs ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Licha ya Kumpa Hongera kwa nafasi yake hii ya kisiasa nina haya yafuatayo Inahitaji Ujasiri sana kujiunga na siasa kwa nchi hii hivyo naamini SALIM ameguswa sana na yuko tayari kwa lolote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msanii wa bongo flevaSaidi Mustafa maarufu kama Side Boy "Mnyamwezi" amefarik mchana wa leo akiwa hospital ya St Walburg "Nyangao-Lindi" msanii huyo ameimba nyimbo kama Hujafa Hujaumbika...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Sisi tunawaza kuwashirikisha wao kwenye nyimbo zetu, ila wao hawafikirii hlo kabsa.. Wao wanafanya album na zinauzika kwa bei nzuri za kuwanufaisha sana kulingana na misingi ya hakimiliki nchini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi haka kajamaa ni ka mbilikimo au...? Manake naona kama lower body yake imekaa kidizaini flani hivi....au ni macho yangu tu? Halafu nimeona kamevaa Jordans ambao hata sijazitambua. Huenda...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimeona nisiongeze chumvi screenshoot hiyo hapo. Nb: Mods ingawa wahusika ni celebs ila topic ni ya mmu, msihamishe tafadhari.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ama kweli duniani kuna watu wazuri wa kubisha au kusemea jambo wasilokuwa na uhakika nalo sijui wamezoea sijui kutaka sifa sijui waonekane nao wajuzi wa mambo ya mujini wanajua wao. WARUMI kama...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
baada ya diamond kutuvalia sketi na pedo ya wema mara kadhaa nae bob junior kavaa kipedo kwenye wimbo wake mpya.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom