O.J. Simpson has allegedly contracted HIV from his transsexual lover in prison! The 67-year-old football legend serving a 33 year sentence for a number of felonies including kidnapping and armed...
HUU HAPA UTHIBITISHO.
Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza,
Hapa Alikiba, anamwambia Diamond, nyumbani ( SHAROBARO RECORDS) kuna kila kitu, beats kali, management nzuri and all that, kitu...
Wasanii wa bongo wanachelewa sana kujitambua ni kichefuchefu kiufupi hawa jamaa majina yanafifia kiukweli ila naamini kipaji bado kipo maana wamezaliwa nacho. Ndo maana mpaka kesho sishangai...
Hawa ni baadhi ya wasanii ambao kwa mtazamo wangu wana bahati mbaya kwa kuvuma kipindi ambacho anavuma Diamond,i mean isingekuwa uwepo wake kwenye game kwa wakati huu wangepata attention/tuzo...
Tulimkabidhi Diamond cheque ya fedha nyingi za mirahaba na baada ya kumuonesha michakato yetu, alikuwa tayari kusaini nasi, alisema CEO wa MCSK, Maurice Okoth.
Kwa sasa Diamond ndiye msanii wa...
Diamond Platnumz amekua noinated kwenye tuzo kubwa kabisa nchini Nigeria zinazojulikana kama The Headies Awards . Diamond yupo kwenye category ya Best African Artist ambayo inajumuisha wasanii...
Habari za muda huu waheshimiwa
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,nimejiuliza sana kuhusu hiko kipindi.Kwa anae fahamu
Inawezekana kikawa kipo ila muda wa show nikawa siko kwenye...
Hakika huyu kijana anastahili pongezi kubwa kwa kupeperusha vema bendera ya Tanzania Ameshinda tena tuzo za IRAWMA zinazo fanyika nchini Marekani kupitia nyimbo yake mdogomdogo katika kipengele...
Leo ni birthday ya kijana anayesumbua Mziki wa Bongoflavour Kwa sasa,kijana mwenye mafanikio kupitia sanaa ya Muziki Msanii wa kwanza kuwa nominated bet,Mtv mama Mtv Europe.
Haya Mr...
- Instagram Party Tanzania Tour 2014 juzi imeweka historia mpya ya Sherehe hizo zilizoanza mjini Dar Miezi 2 iliyopita baada ya watu Elfu Tano kufurika Ukumbi wa Jembeni Jembe wa Mjini Mwanza...
Habarini
Kuna jambo jipya nimejifunza maishani mwangu juzi nilipomtembelea dadangu mmoja mcha mungu anae abudu kanisa la ufufuo na uzima( kwa Gwajima) ,nikiwa nimejawa na masihara na dhihaka...
Wakati wasanii wakibongo kwa ujumla wao wakihangaika na shoo za Fiesta msimu huu, Diamond ameendelea kujidhihilisha kwamba ni msaanii mkubwa sana kiasi cha jamaa wa Clouds Entertainments kushidwa...
Naomba kumfahamu huyu jamaa japo kwa uchache tuu
Relationship status yake?
Investment zake!
na yule jamaa mwingine aliekua nae ze comed alie kuwa mgonjwa saaana kipindi flani hiv
Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV...
Msanii wa bongo movies Rose Ndauka amerudi kwa mama yake kigogo baada ya kugundua mchumba wake aliyekuwa anaishi naye na baba wa mtoto,kuwajaza mimba wanawake wawili tofauti.
Mchumba huyo...
Nyimbo mpya ya msanii Ben pol inayoitwa JIKUBALI ni copy and paste ya mwanamuzik wa america anayeitwa The script au William!! Ben pol ameigiza kila kitu kuanzia tune, melody, lyrics, chorus...
Diamond ka post kwenye IG kwamba kidogo
Alichoweza mzawadia Wema ni Gari la aina ya Nissan Murano kama birthday present
Si juzi tu hawa walilikisha habari kuwa
Diamond ana vikao vya...
Huko Instagram hapatoshi. Ni mapambano makali kati ya Lemutuz na Teams mbalimbali. @ WILLIAM MALECELA huoni kama hivyo vita vya panya unavyo pambana, vitakuharibia kwenye mbio...
Maisha ya wasaniiwengi wa kibongo kwa ufupi ni ya chini sana kiuchumi japo wanajifanya wana mawe
1.HAWANA MAMENEJA WAZOEFU: Wasanii wengi hawana mameneja ndio maana maisha yao ni zigzag, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.