1.Muziki wa kisasa umegawanyika katika makundi haya (a)Nyimbo za taratibu kama SOUL,R&B,urban JAZZ,na Zouk,country(b)Nyimbo zenye kubeba hisia za kimapinduzi au changamoto kama HIP...
msaada jamani kama kuna mtu mwenye huo wimbo tafadhali, nmehangaika sana kutafuta audio na kuutafuta youtube nmekosa, kama kuna ambaye anayo audio au video msaada tafadhali.
Haya mambo ya instagram sasa sijui ndo coming out the closet au ndo tunaenda sambamba na kina lulu kwa mwendo wa WCW wtva! Jack Wolper upo hapo? Ma selfie hayooo. innanilah......koh!
Ameandika hivi kwenye page yake ya facebook 25mins ago
Najua wote tungependa tufurahie kwa pamoja siku yangu hii ya kuzaliwa, lakini kwa bahati mbaya hakuna ukumbi utaoweza kututosheleza... sasa...
Nimeona tangazo la sporah show clouds tv itakayofanyika leo J4. diamond akiongea ung'eng'e wa hatare, kumbe jamaa sasa hivi kimombo kinapanda eeh
msisahau kufatilia mtupe update alichochapia!" au...
Vijana wa bongo flava, Gosby na Godzilla wamekuja na kibao kipya "Blame on Me"
Kibao kimekuwa produced na Mswidish Fundi Samweli, na kimerekodiwa kwenye studio za Fundi, Maeneo ya Kibaha...
1.Mimi nashindwa kuwaelewa kabisa, Hivi ni kweli nyie ni mambo safi? Yaani hela mnazo za kutosha au wanawazushia?
2.Hivi ni kweli zile picha za uchi ninazo ziona kwenye mitandao ya kijamii na...
Nyie wanawake wa Tanzania hususani huko Instagram fuateni mifano ya wanawake wenzenu wanaojielewa kama Jackline Ntuyabaliwe na Faraja Nyarandu na Nancy Sumari.. Hawa wadada nawapenda sana...
Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza.
Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa, vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na...
Wadau.
Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga.
Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato...
Kiukweli UKWELI siku zote unauma tena sana,lakini mimi nasema hivi, akupendae kwa dhati hukueleza ukweli juz ijuzi hapa watu walimfungia Diamond kibwebwe na matusi kibao kisa kumpa za uso wema...
Nani kaimba huu wimbo? jina la wimbo linaitwaje?
nimeusikia mara moja tu kwenye redio...hebu nisaidieni
verse niliyoshika
Unajua Watoto wa MJINI MAPENZI Kwao ni Utani Leo Unamtekenya Kesho...
Je, wajua kuwa wimbo wa Hello wa Hussein Machozi ilikua amshirikishe Jide lakini Jide akakataa kisa Machozi ni msanii mdogo, mwisho wa siku Machozi akampa shavu maunda Zorro.
Je, wajua kuwa jina...
Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva, Said Salim, aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia.
Taarifa kutoka mkoani Lindi zinasema Side Boy amekufa leo Septemba 29...
Wana jamvi sasa ni mwaka wa nne hajaonekana mtangazaji mahiri wa Star TV kutoka Arusha.
Mtangazaji huyu alikuwa ni mahiri katika kipindi cha medani za siasa na hasa wakati wa uchaguzi alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.