Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

“MADAM...Madam...Madam...” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi Isiyaka ‘Dogo Aslay’...
1 Reactions
67 Replies
25K Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village... Hongera sana diamond platnumz Source page yake....picha will follow...
1 Reactions
95 Replies
16K Views
Shows nyingi anazofanya platnumz zinamuingizia kipato kikubwa sana ukijumlisha na mapato mengine ya shughuli zake za kibalozi, lakini ni dhahiri hana pesa anayotamba anayo Na wala hatakuja kuwa...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark , Janus Stanley Landrock , Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu...
0 Reactions
138 Replies
19K Views
STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke. Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi...
4 Reactions
140 Replies
18K Views
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014. Majina hayo ya wasanii watakaowania tuzo hizo mwaka huu yalitangazwa J'nne hii, September 23, 2014 Protea Hotel...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ndo mkoko mpya wa video queen maarufu apa bongo, Agnes masogange, mengine muachie baba na mama..
0 Reactions
82 Replies
27K Views
Kweli mziki wa bongo jamani ni shidaa... maana katika hali halisi kama hujajipanga kimaisha na ukashiba masifa kichwani bila hela mfukoni yaani ni balaaa. Jana nilikua uwanja wa ndege wa mwalimu...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Amber rose files for divorce from wiz khalifa.Pia anahitaji matunzo kwa mtoto wao mmoja Sebastian. Ndoa yao imedumu kwa mwaka mmoja tu.Na kuna tetesi Kuwa anataka kuamia rasmi kwenye penzi la...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Msanii wa Bongo Movies Bupe Ameongea Kuhusu umbo lake la Utata Mwingi hasa upande wa Nyuma na kusema yuko tayari kupungua tumbo lakini siyo makalio. Hawa wasanii wa bongo ni sheedaaaa
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo weekend hii ni Mbeya na Songea, ametangazwa msanii wa kimataifa ambae ni rasmi atapanda kwenye stage ya Fiesta Dar es...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Amber Rose has filed for divorce from her husband, Wiz Khalifa, after just one year of marriage. According to TMZ, Rose filed divorce papers on Monday, citing those ever-popular irreconcilable...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Member wa kundi la zamani la Chemba Squad, Moses Bushagama aka Mez B amejikuta akiingia kwenye kashfa baada ya picha alizopiga na wasichana wawili wakiwa watupu huku amewashika maziwa, kuvuja na...
0 Reactions
33 Replies
12K Views
Producer Man Maji Man Water ambalo jina lake kamili ni John Vomo Shariza Siku ya Jumamosi tarehe 21 Septemba 2014 katika kanisa la KLPT Kigamboni jijini Dar es salaam alifunga ndoa na mke wake...
1 Reactions
29 Replies
12K Views
Dah jamani hapa mimi naweka mambo hadharani sio personal or chuki binafsi bali ni personal experience nilizokutana nazo nilivyomeet na hawa watu ambao tunawaita "celebrities" kwa hapa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Nawaletea exclusive kubwa ya karne kwenye nji hiiii huyu mtoto jamani watu wamuache, kimyakimya kawekeza kwenye biashara ya vodka na jinsi kwa sasa alivyo musician mkubwa duniani( yuko top 50 ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mchekeshaji aliyejipatia umaarufu kanda ya hii ya Afrika Mashariki na Umu Jamiiforums,baada ya kushinda best african comedian award at the Afro Australian Music and Movie Award ( AAMMA). Ameamua...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Kuna mada humu iliwahi kuletwa kuhusu mbwiga wa Clouds FM kushindwa kusoma, jana imethibitika kashindwa kusoma magazeti kwenye kipindi cha Power Breakfast akasingizia macho hayaoni. Mimi naweka...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
huyu jamaa ni very charming, kwa tuliosoma nae tuna uhakika asilimia mia kuwa atashinda
0 Reactions
61 Replies
15K Views
Bwana mdogo nadhani una maskauti wanaopeperusha newz zako humu, hao wakufkshie taarifa.. Kuna Mkongomani anamburuza nyapu Wema Sepetu. Amka bro mali yako inaliwa. Mkongo huyo ana pesa ndefu, ndiye...
3 Reactions
81 Replies
20K Views
Back
Top Bottom