Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kuna mtu ana taarifa za huyu DJ maarufu aliyekuwepo Radio One miaka ya 1997.. Kama hawa wanaotoa tunzo za music wangekuwa wapo makini na tunzo zao basi wangeweka tunzo ya wakongwe waliopambana...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
wizkid ambaye ni msanii wa nigeria na hasimu mkubwa wa davido ameitakia happy indepence day Tanzania.Hii imekaaje au ndio kutumia fursa kwa lile wingu lililoibuka upande wa davido na watanzania...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ni muda mrefu sijawasikia watangazaji maarufu wa michezo wa Radio one. Kama ni likizo haishi tu au mmesajiliwa china kama mlivyokuwa mkijinanga Radioni? BI Joyce tunaomba watangazaji hawa warudi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Diamond kawambia wasiogope kuchekwa
2 Reactions
60 Replies
10K Views
Cha kuvutia ni jinsi ilivyo realistic and convincing..!
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Duh huyu mrembo hiyo kujieleza kwake
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imeripotiwa kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big Brother Afrika, Tayo kuzikosa dola laki tatu za Biggie zilizomwendea Idris wa Tanzania Jumapili iliyopita, mshiriki huyo wa...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Jamani watanzania huu ndo wakati wa kuonesha ushirikiano.Wamezoea kutuonea issue zinatokea zinaishia chini Kwa chini. huyu ----- Davido Acha ababaikiwe na mafala na sio watu wanaojielewa..Tuanze...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
tumeona wasanii wengi tu hata huko ulaya na marekani wakiwa wanatangaza bidhaa kwenye video zao, km vile simu, headphones na cameras lakini kwa hii ya Vanessa ni too much...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wapo wana hip hop wengi wa zamani waliofanya vizuri lakini leo hii game yetu imeshikiliwa hasa na hao vijana wanne tajwa hapo juu.Napenda sana kusikia nyimbo zao redioni ila sema ndio hivyo tena...
1 Reactions
59 Replies
27K Views
ule uchumba ulianza kwa kasi ya ajabu kati ya mtanzania aliyetuwakilisha big brother 2013 na mwenzake raia wa botswana kwishneyi. Feza Kessy amekiri uchumba huo kuvunjika kwa sababu ameona...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Msanii ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ' Mtunis ' aitwaye batuli, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana mvuto! Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa...
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Mu-hali gani wanajamvi?? Napenda kujua kundi la Makoma liliishia wapi? Wako wapi na wanafanya nini??
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Ni hivi mapema tangu Wema afunuke kwamba wameachana na Diamond lakini jamaa amekataa ku confirm or to prove wrong about. Na huu wimbo unasanifu kila kitu, hapo kuna cha kuficha?
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Aiseee nimepitia mitandao kadhaa pamoja na page ya bwana mkubwa Chriss Brown aisee ni sheeda, kamchana huyu bi dada karrueche, naskia kagonoka na Drake. Pitia clip hii Youtube juzi ijumaa kwenye...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
habari za jumapili wana jamvi.hiki kundi la wanamuziki lililotamba kwa jina la wagosi wa kaya na nyimbo zao kama ;tanga kunani pale,walimu,wauguzi na trafic ..wako wapi vijana hawa mana walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
MTANGAZAJI Bongo, Penniel Mungilwa ' Penny' amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwagombanisha marafiki wa damu , Wema Sepetu ' Madam' na Aunt Ezekiel , baada ya yeye kuingilia urafiki huo ...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ' Masogange ' aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Dah! hapa imetoka kupigwa dangushima, dogo anabana sana pua its so annoying. Huyu dogo ki ukweli sauti hakuna ni pua kwenda mbele. Jamani please wekeni Top 10 ya wabana pua tuwajue, wanaboa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa nasikia wimbo wa umri wa TMK Wanaume Family nikamsikia the late YP akichana ndio nikaanza kuwakumbuka majembe ya bongo fleva ambao hawapo tena hapa duniani. Nimemkumbuka Geez Mabovu...
0 Reactions
30 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…