Madai mazito: Rose muhando atundikwa Mimba

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a. k . a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi limenyetishiwa Mapema wiki hii chanzo kimoja kilipiga simu katika chumba chetu cha habari na kusimulia kuhusu habari hiyo, kwamba, Rose ambaye hana mume, amenasa na muda wowote kuanzia sasa anaweza kuitwa mama.

KUMBE Madai ya chanzo hicho yalieleza kwamba, staa huyo amekuwa akijichimbia nyumbani kwake mkoani Dodoma tofauti na siku za nyuma ambapo alikuwa hakauki jijini Dar. "Kama hamsadiki ninayowaambia, najua ninyi mmebobea kwenye habari za uchunguzi ' so' fanyeni yenu mtaniambia ," kilidai chanzo hicho kikiomba chondechonde kisichorwe jina gazetini.

KUJIRIDHISHA Ili kujiridhisha na habari hiyo, pasipo kwanza kuwasiliana na Rose, moja kwa moja, gazeti hili lilimpigia simu mmoja wa watu wa karibu wa nyota huyo (jina linahifadhiwa ), alipopatikana, aliulizwa kuhusu ishu hiyo na haya ndiyo aliyoyaeleza : Rose Muhando akipafomu na madansa wake. "Yaani hadi leo mlikuwa hamjapata hii habari? Mimi siku zote nilikuwa najua labda kwenu siyo habari kwa sababu ujauzito huu ni wa siku nyingi.

"Hata sasa hivi ukimuona alivyo unajua wazi kuwa kuna kichanga tumboni kwani tumbo limechomoza hatari. " Mtu huyo wa karibu alisema anapokuwa nyumbani Dodoma mara nyingi amekuwa mtu wa kukaa ndani tu kutokana na watu kumshangaa.

Alisema Rose amekuwa akijificha kwa sababu ya kuogopa macho ya watu na uchovu unaotokana na hali aliyonayo ' kuchoka '.

NANI MHUSIKA?
Juu ya nani mhusika wa mimba hiyo, mtu huyo wa karibu, ambaye anafahamu kila kinachofanywa na nyota huyo wa Wimbo wa Facebook alisema kuwa, inadhaniwa kuwa ni ya mcheza shoo wake (jina kapuni ). Inadaiwa kwamba , Rose , mara kadhaa amekuwa akisisitiza kuwa ni lazima amzalie mtoto jamaa huyo kwa jinsi anavyompenda. " Huyo mcheza shoo ana uhusiano naye kwa muda mrefu kidogo na ameshasema kwa watu wengi tu kwamba endapo Mungu atapenda basi atafurahi kama atamzalia mtoto. "Mimi hajaniambia mimba hasa ni ya nani , lakini naziona dalili zote kuwa ni ya huyo kijana," alisema mtu huyo . Rose Muhando na madansa wake wakitoa burudani .

MWENYEWE ANASEMAJE ?

Baada ya kujiridhisha na maelezo ya mtu wake wa karibu, gazeti hili lilianza kumtafuta Rose, mama wa watoto watatu ambao wote amezaa na wanaume tofauti, lakini katika hali ya kushangaza, simu yake iliita hadi kukatika bila kupokelewa, hata baada ya kupigwa mara kadhaa. Likiamini huenda alikuwa katika shughuli au mahali panapombana kuzungumza, gazeti hili lilimtumia ujumbe mfupi wa maneno (SMS ) na kumsomea mashitaka hayo ili atoe ufafanuzi, lakini pia hakuweza kujibu.

Likiamini huenda simu yake haisomeki kwa mtumishi huyo wa Mungu, gazeti hili lilitumia simu nyingine ambayo nayo iliita kwa muda mrefu hadi kukatika pasipo kupokelewa na hata pia alipotumiwa ujumbe mfupi wa simu wenye maelezo kuhusu hali yake ya sasa, pia haukujibiwa hivyo jitihada zinaendelea.

NI MTOTO WA NNE Endapo itathibitika , ujauzito wa Rose utakuwa ni wa mtoto wa nne ambapo mara kadhaa staa huyo amekuwa akisema hayupo tayari kuolewa hivyo kuwaacha baadhi ya watumishi midomo wazi wakiamini mtu wa sampuli yake haifai kuzaa nje ya ndoa.
 

Attachments

  • 1419054971928.jpg
    1419054971928.jpg
    19.6 KB · Views: 1,333
Kuna mtumishi keshamtundika mimba..haha haha aisee

si bora angekuwa mtumishi, nasikia mcheza shoo wake, nyie hawa waimba kwaya kiboko, juzi si alisema alitaka kubakwa huyu? haya na hiyo mimba sijui nayo kabakwa, hyo rose malaya tu hana lolote, kwa nini akatae Ndoa
 
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa
Injili Bongo , Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa
mimba a. k . a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia
muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi
limenyetishiwa
Mapema wiki hii , chanzo kimoja kilipiga simu katika
chumba chetu cha habari na kusimulia kuhusu habari
hiyo, kwamba , Rose ambaye hana mume , amenasa na
muda wowote kuanzia sasa anaweza kuitwa mama .

KUMBE

Madai ya chanzo hicho yalieleza kwamba , staa huyo
amekuwa akijichimbia nyumbani kwake mkoani
Dodoma tofauti na siku za nyuma ambapo alikuwa
hakauki jijini Dar .
“Kama hamsadiki ninayowaambia , najua ninyi
mmebobea kwenye habari za uchunguzi ‘ so’ fanyeni
yenu mtaniambia ,” kilidai chanzo hicho kikiomba
chondechonde kisichorwe jina gazetini .

KUJIRIDHISHA

Ili kujiridhisha na habari hiyo, pasipo kwanza
kuwasiliana na Rose , moja kwa moja , gazeti hili
lilimpigia simu mmoja wa watu wa karibu wa nyota
huyo (jina linahifadhiwa ) , alipopatikana , aliulizwa
kuhusu ishu hiyo na haya ndiyo aliyoyaeleza :
Rose Muhando akipafomu na madansa wake .
“Yaani hadi leo mlikuwa hamjapata hii habari ? Mimi
siku zote nilikuwa najua labda kwenu siyo habari kwa
sababu ujauzito huu ni wa siku nyingi. “Hata sasa hivi
ukimuona alivyo unajua wazi kuwa kuna kichanga
tumboni kwani tumbo limechomoza hatari . ”
Mtu huyo wa karibu alisema anapokuwa nyumbani
Dodoma mara nyingi amekuwa mtu wa kukaa ndani tu
kutokana na watu kumshangaa . Alisema Rose amekuwa
akijificha kwa sababu ya kuogopa macho ya watu na
uchovu unaotokana na hali aliyonayo ‘ kuchoka ’ .

NANI MHUSIKA?

Juu ya nani mhusika wa mimba hiyo, mtu huyo wa
karibu, ambaye anafahamu kila kinachofanywa na
nyota huyo wa Wimbo wa Facebook alisema kuwa ,
inadhaniwa kuwa ni ya mcheza shoo wake (jina
kapuni ) .
Inadaiwa kwamba , Rose , mara kadhaa amekuwa
akisisitiza kuwa ni lazima amzalie mtoto jamaa huyo
kwa jinsi anavyompenda. “ Huyo mcheza shoo ana
uhusiano naye kwa muda mrefu kidogo na ameshasema
kwa watu wengi tu kwamba endapo Mungu atapenda
basi atafurahi kama atamzalia mtoto.
“Mimi hajaniambia mimba hasa ni ya nani , lakini
naziona dalili zote kuwa ni ya huyo kijana,” alisema
mtu huyo .
Rose Muhando na madansa wake wakitoa burudani .

MWENYEWE ANASEMAJE ?

Baada ya kujiridhisha na maelezo ya mtu wake wa
karibu, gazeti hili lilianza kumtafuta Rose , mama wa
watoto watatu ambao wote amezaa na wanaume
tofauti, lakini katika hali ya kushangaza , simu yake
iliita hadi kukatika bila kupokelewa , hata baada ya
kupigwa mara kadhaa .
Likiamini huenda alikuwa katika shughuli au mahali
panapombana kuzungumza, gazeti hili lilimtumia
ujumbe mfupi wa maneno (SMS ) na kumsomea
mashitaka hayo ili atoe ufafanuzi , lakini pia hakuweza
kujibu.
Likiamini huenda simu yake haisomeki kwa mtumishi
huyo wa Mungu , gazeti hili lilitumia simu nyingine
ambayo nayo iliita kwa muda mrefu hadi kukatika
pasipo kupokelewa na hata pia alipotumiwa ujumbe
mfupi wa simu wenye maelezo kuhusu hali yake ya
sasa, pia haukujibiwa hivyo jitihada zinaendelea .

NI MTOTO WA NNE

Endapo itathibitika , ujauzito wa Rose utakuwa ni wa
mtoto wa nne ambapo mara kadhaa staa huyo
amekuwa akisema hayupo tayari kuolewa hivyo
kuwaacha baadhi ya watumishi midomo wazi
wakiamini mtu wa sampuli yake haifai kuzaa nje ya
ndoa.

kwan yy sio mwanamkeee? muache abebe, halafu tusimhukumu
 
kwan yy sio mwanamkeee? muache abebe, halafu tusimhukumu

Mwanamke ila kwa mtumishi wa mungu kama yey ni aibu kushika mimba nje ya Ndoa, wangekuwa wakina aunty ezekiel wale ni kawaida kwa kuwa wanajulikan ni watu wa aina gani, ila rose ni muimba kwaya, anamuimbia mungu, kufanya kinyume na anachokifanya ni kumuaibisha mungu ata wakristo kwa ujumla
 
Hawa washenzi wanadhalilisha jina la bwana. Hv heshima na adabu iko wapi ndio maana waislam wanatudharau

Sio kaka Alex kweli kafanya mambo.

Si vema kuhukumu, Ila haya mambo ya dini ni magumu sana si kwa ukristo wala uislam, ni wachache sana wanaofanikiwa "kuigiza" na kufanikiwa kuwafool wengine kwa muda mrefu....ndio maana hata Babu Dokta "Mbundu" aliamua kuitikia wito wa "toroka uje"
 
MADAI MAZITO !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!................???????????????????........................... kwani kabla ya hiyo inayoitwa mimba alikuwa bikra ??????????? Eti mtumishi wa mungu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
si bora angekuwa mtumishi, nasikia mcheza shoo wake, nyie hawa waimba kwaya kiboko, juzi si alisema alitaka kubakwa huyu? haya na hiyo mimba sijui nayo kabakwa, hyo rose malaya tu hana lolote, kwa nini akatae Ndoa

Warumi hapa umekosea kama ungekuwa katika viatu vya rose even for a min. ...ndo ungaliweza kumkashifu this is so disrespect u needs to apologise
 
Back
Top Bottom