John Stephen Akwari: Mzalendo aliyeniliza!!!!

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
774
Kwa kawaida mimi huwa sipendi mambo ya ku follow the crowd na ushabiki lakini kwenye hili nimeona bora nimwekee thread yake pekee huyu Mtazania mwezetu. Nadhani kama kuna mtu alitakiwa kuenziwa ili kuwa inspire waTanzania kokote kule walipo duniani ni huyu JOHN STEPHEN AKHWARI

Mwenye contacts zake naziomba kuna jambo nadhani naweza kulifanya not only kwake yeye lakini pia aweze kuwa inspirational kwa wadogo zetu waliopo ndani na nje ya Tanzania. Mwenye contats zake tafadhali naomba anitumie PM.

Pamoja na matatizo tuliyo nayo kama nchi watu kama hawa will always make you feel proud to be Tanzanian

What we need ni more JS AKHWARI's in all walks of our lives

zaidi soma hapa:

[h=2]1968 Olympic marathon[/h]While competing in the marathon in Mexico City, Akhwari fell, badly cutting his knee and dislocating the joint. He continued running, finishing last among the 57 competitors who completed the race (75 had started). The winner of the marathon, Mamo Wolde of Ethiopia, finished in 2:20:26. Akhwari finished in 3:25:27,[SUP][2][/SUP] when there were only a few thousand people left in the stadium, and the sun had set.
As he finally crossed the finish line a cheer came from the small crowd. When interviewed later and asked why he continued running, he said, "My country did not send me 10,000 miles just to start the race; they sent me to finish the race."[SUP][3]


[URL]http://en.wikipedia.org/wiki/John_Stephen_Akhwari
[/URL][/SUP]
 
Last edited by a moderator:

Buyengwa

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,159
10,290
There is a John Stephen Akhwari Athletic Foundation, an organization which supports Tanzanian athletes training for the Olympic Games. You can have this as a starting point for your search!

Cheers!
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
774
There is a John Stephen Akhwari Athletic Foundation, an organization which supports Tanzanian athletes training for the Olympic Games. You can have this as a starting point for your search!

Cheers!

Thanks.....will do and shall keep you posted
 

King kingo

JF-Expert Member
Sep 6, 2010
401
25
Duh mkuu kumbe unaongelea watu waliozaliwa Tanganyika si unajua wengi tumezaliwa Tanzania Bara...
 

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,893
665
Wakati Mashindano ya Olimpiki yakiendelea huko London na wanasiasa wetu wakiiitafuna nchi, huyu jamaa alikuwa ni mzalendo wa kweli..I wish ata wanasiasa wetu na watumishi wa umma wangekuwa na huu moyo: John Stephen Akhwari alikuwa mpambanaji wa kweli... Kuna mtu anahabari za huyu shujaa?

soma hapa: John Stephen Akhwari - Wikipedia, the free encyclopedia

kisha Tizama hii video:


Finish the Race ~ personal story of courage- YouTube na hii hapa: Olympics Inspiration: Finish the Race, Not Just Start It! - YouTube
 

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,426
566
Forty years ago(now 44), Akhwari represented Tanzania in the marathon of the 1968 Mexico City Olympic Games. Although he injured his leg, he persisted till the last moment of the marathon, and this act won him the respect of the world. At that event, he said that he was 7,000 miles from his country. He came here, not just to listen to the sound of the starting gun, but to finish the race. His words inspired people.
 

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,426
566
In the 1968 Mexico City Olympic games, a young African runner from Tanzania, named John Stephen Akhwari, would compete in the last event of the games – the 26 mile, 385 yard marathon. Although he would ultimately finish last, nearly an hour behind the rest of the runners, he would nonetheless finish the race and in doing so deliver a finish that will be remembered long after the winner has been forgotten. He did all of this in spite of taking a bad fall early in the race. After he fell he got up and carried on anyway, running on a badly injured leg and knowing full well that he was then out of the competition. The other runners reached the finish line nearly an hour before Akhwari would finally approach the stadium. The stadium, by this time, was nearly empty. Yet, when Akhwari entered the stadium the crowd rose to their feet and cheered. Photographers scrambled to set up cameras they had long stowed away, barely managing to capture one of the greatest finishes in Olympics history. After the race a reporter questioned Akhwari – "Why did you go on, you knew you couldn't win, why didn't you just quit?"
Looking puzzled by this question Akhwari paused for a moment, and then relied simply: "I don't think you understand."

"My people did not send 5000 miles to start the race, they sent me 5000 miles to FINISH they race!"
 

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,686
330
Mkuu nitatofautiana na wewe kwa hili,nina imani kuwa wtu wa hivi bado wapo wengi sana ila utaratibu wa kuwapata watu wa hivi ndio haupo...


Kutokupatikana kwao ndiko kunakonifanya niseme hawapo! Kwani enzi za mwalimu ilikuwaje wakawa wanapatikana?
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
3,929
Kutokupatikana kwao ndiko kunakonifanya niseme hawapo! Kwani enzi za mwalimu ilikuwaje wakawa wanapatikana?Enzi za mwalimu kulikuwa na utaratibu mzuri wa kuwapata wanamichezo kwa kuwa na mashindano ya ngazi za chini mpaka kufikia Taifa,labda nikuulize ulishawasikia(TOC) wakitangaza mashindano ya kutafuta washiriki wa michezo ya Olympic..?Lakini ukweli ni kuwa tunao watu wengi sana wanaoweza kutuwakilisha,tatizo ni kuwa hatuna mfumo wa kuendeleza vipaji..
 

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,686
330
Enzi za mwalimu kulikuwa na utaratibu mzuri wa kuwapata wanamichezo kwa kuwa na mashindano ya ngazi za chini mpaka kufikia Taifa,labda nikuulize ulishawasikia(TOC) wakitangaza mashindano ya kutafuta washiriki wa michezo ya Olympic..?Lakini ukweli ni kuwa tunao watu wengi sana wanaoweza kutuwakilisha,tatizo ni kuwa hatuna mfumo wa kuendeleza vipaji..


Kwa hiyo mkuu itabidi tu ukubaliane na mimi kuwa hao watu hawapo
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
3,929
Kwa hiyo mkuu itabidi tu ukubaliane na mimi kuwa hao watu hawapo


Mkuu ujue mimi ni mbishi sina mfano na hapa labda tukubaliane kutofautiana lakini bado nasisitiza kuwa hawa watu wapo,kawaida utasema kitu hakipo kama umekitafuta na kukikosa lakini huwezi kusema hakipo wakati hujakitafuta,siwezi kuamini kama dogo mmoja aliyeshinda medali ya dhahabu(nimesahau kidogo jina la nchi yenyewe) wakati nchi yake idadi ya watu haizidi 50,000 nchi nzima ameishinda Tanzania yenye watu zaidi ya 40,000,000..Tukiweka utaratibu mzuri wa kutafuta washiriki watapatikana tu..
 

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,426
566
Sasa hivi waTz wengi wanafikiria jinsi ya "kupiga" swala la sifa na historia wamelipoteza kabisa.. usishangae ukawapatia watu ambao ni viongozi na wasimamizi wa mchezo fulani pesa ya kufadhili mchezo huo wao wanatia ndani au tunasema "wanapiga" na hata mtu akipewa kitengo kitu cha kwanza anafikiria maeneo loose ya kujichotea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom