Habari wana JF,
Kweli mziki unalipa sana,Msanii wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana Fa) aonyesha jeuri ya fedha. Mwana Fa asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanaotumia matajiri...
Staa wa Bongo Fleva, Stara Thomas akiwa na mumewe
Stori: Deogratius Mongela na Chande
HAYA ni madai mazito! Kwamba, staa wa Bongo Fleva ambaye juzi kati alinusa kwenye gospo...
Mungu ni mkubwa :Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond Platnumz, Sanura Kassim Sandra, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa.
Habari kutoka...
Mjanja wa Mjini Kijana Petitman Wakuache ambae ni Shemeji wa Mwanamuziki Diamond Jana Ameendeleza Series ya zawadi za Magari kwenye sherehe za kuzaliwa baada ya kumzawadia mke wake gari aina ya...
Kama umedownload au kutumiwa wimbo unaosemekana kuwa ni wa Diamond featuring P-Square na pamoja na kuusikiliza kwa mara kibao ukashindwa kusikia sauti ya Paul au Peter Okoye, basi sikio lako...
Mzee Abby Sykes afariki dunia.
Baba Mzazi wa Dully sykes, Ebby Sykes amefariki dunia leo.Habari hizi zimethibitishwa na Mwanae Raya Sykes.Mzee Sykes amefariki akiwa na umri wa miaka 62.
Mwaka 2013 pale nchini Uganda, Proscovia Oromait aliweka rekodi ya kuwa The Youngest MP in the World baada ya kuchaguliwa akiwa na miaka 19 tu.
Sasa basi huu ni wakati muafaka wa vijana wetu...
AMEKUWA MBONGO WA KWANZA KUNUNUA TOLEO JIPYA LA SNEAKERS ZA YEEZY ZA KANYE WEST, UNAAMBIWA KUNA MASTAA AMBAO HATA MAREKANI BADO HAWAJAVIPATA
HONGERA LAMAR KWA KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA...
Msaani maarufu wa Maigizo Nchini aitwaye Rashid Mwinshehe maarufu Kama "Kingwendu", amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama ambacho amedai Kuwa anaona Kinapendwa na Watanzania...
- Kampuni ya Cocacola hivi kuanzia leo imeanza kutoa heshima kwa all Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwatengenezea makomo maalum ya Soda zao ambayo yataanza...
BEAUTIFUL-Onyinye, Wema Sepetu Madam amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema alisema awali...
Diamond Vs Ali Kiba ni ushindani usio rasmi unaochochewa zaidi na mashabiki wa muziki Tanzania kwa kuwa wawili hao licha ya kuwa wote ni wasanii wenye uwezo mkubwa sana kwenye uimbaji wanatajwa...
Jamaa anasema alienda kusoma na alipirudi akakuta kibarua chake kimeota ngaro
Ila anakiri ITV ndio kituo bora cha TV Tanzania,Amesema wakimwita hata usiku wa manane yupo tayari kwenda kufanya kazi...
Umofia Kwenu wana JF,
TID alifanya interview na kituo kimoja cha TV ambacho alieleza nini kilikuwa chanzo cha beef kati yeye na Qchief Alias Mugabe (Formerly was known as Savimbi) alisema chanzo...
Mama mzazi wa Nay wa Mitego anahisi mwanae ni mfuasi wa jamii ya siri ya freemason na ameanza kusita kupokea fedha kutoka kwake.
Kwa mujibu wa mama yake, mafanikio ya haraka ya Nay yakiwemo...
Msanii maarufu wa Bongo Movie Elizabeth Michael "Lulu" wakati akifanyiwa interview nyumbani kwake,amesema kuwa anachukia umasikini na amedai kuwa umasikini ulipaswa kuwa sehemu ya dhambi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.