Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Najua mlinimiss sanaa polen kwa kunimiss sasa leo naja na hii ambayo tayar ishakua Confirmed Baada ya Zari kutua Dar takribani week sasa akionekana na mizunguko ya pamoja na mpenzie Diamond...
0 Reactions
158 Replies
20K Views
Msani mahiri wa bongo flava Jux leo amepost mjengo kwenye account yake ya instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto hii inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii...
0 Reactions
38 Replies
19K Views
Huwa najiuliza sana kwa hawa watu kwanini wanapenda sana kila wanachofanya kije kwenye media. LE MUTUZ huyu jamaa kila anachofanya lazima aweke kwenye media. Mara nimefungua ofisi mara leo nafanya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana kuathiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Hivi huyu nguli wa maigizo yu wapi jamani? mwenye taarifa zake!!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
The Mail revealed this week that the Duchess of Cambridge's uncle, Gary Goldsmith, (top left) had posted a picture on social media of his wife Julie-Ann (top row, third from left) that bore a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wote ni wahangaikaji na wana watoto na ni wazuri .nani mzuri zaidi ya mwenzie
0 Reactions
61 Replies
18K Views
Jana wakati wa kipindi cha Ampilifaya cha Clouds Fm Millard Ayo, alimuuliza Aunt Ezekiel kuhusu mwanaume aliyempa mimba.Je ni Waziri wa wanyama au yule mcheza densi au mumewe anayeozea jela za...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
Nilikua nafuatilia Sporah show ya mdada Recho a.k.a Recho mapenzi, yaani hana answering skills kabisa, hajui kujieleza, anauliza maswali mengi kama yeye ndio ana host show. Nilipochoka ni pale...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Closed
Natumaini wote weekend ilikuwa poa na kama nilivyowaahidi last week nitaingilia kati beef la hawa wanawake kwa heshima ya Mr Mali na watoto zao pia. Nimefanikiwa kumshawishi Linda aachane na...
13 Reactions
551 Replies
61K Views
Wakati tetesi zikizagaa kila kona ya mji , kuhusu ujauzito wa star wa movie ya 'Young Billionaire', Aunty Ezekiel kuwa amenasa ujauzito wa dancer wa mwanamuziki maarufu nchini, Diamond Platnums...
0 Reactions
59 Replies
13K Views
  • Closed
Wiki mbili zimepita tangu afariki, alikuwa staa wa movie za Nigeria, Muna Obiekwe ambapo sababu ya kifo chake imetajwa kuwa ni tatizo la figo ambapo hakuhitaji kuchangiwa chochote ili akapatiwe...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Kwa upeo wangu., hili bifu la hawa watu wawili linakuzwa ili kumtafutia jina Ali Kiba ambaye alishapotea kwny ramani ya muziki.! naamini kwa wakati huu Diamond ni bora zaidi na hastahili...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wema Sepetu amemfungulia mashitaka ya madai ya pesa shilingi mil 10 za VICOBA alizomkopea Diamond na kushindwa kuzilipa kwa wakati. === MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema...
0 Reactions
89 Replies
14K Views
Aliyedownload na kuicheza hebu aniambie inachezwaje.Yaani chenga tu hamna la maana zaidi ya chupa ya wine picha kidoti ambazo hata hazisogei. Sijui alifanya uzinduzi wa nini.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimetoka kusikiliza interview ya 10 years ya THT iliyofanywa na bongo 5. boss Ruge kaongea ya maana sana, huyu bingwa wanamsema sana kwa mabaya. Lakini ukweli ni kwamba kasaidia sana wasanii...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Laurent Samatta/Uwazi BAADA ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi kushika mimba...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom