Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,784
5,285
Habari wana JF,

Kweli mziki unalipa sana,Msanii wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana Fa) aonyesha jeuri ya fedha. Mwana Fa asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanaotumia matajiri wakubwa, ona picha ya chini, nadhani Mwana-FA anamjibu Mtanzania genius aliyepanda bizness class.

First Class.jpg
 
Ndege yake au?

Maana kama kupanda ndege tu ni habari mpaka leo Tanzania, kazi tunayo.

Enzi za mwalimu ilikuwa ukipanda gari hata kama vw bito lazima ukahadithie wenzako kijiweni sasa hivi ni ndege. Nayo ni maendeleo, big up FA
 
It's all relative.

Wengine wanataka kupanda ndege.

Wengine wanataka kununua ndege.

Wengine wanataka kununua shirika la usafiri wa ndege.

Wengine wanataka kununua kiwanda cha kutengeneza ndege.

It depends on your station in life.

Ndiyo maana wengine tunashangaa mtu kupanda ndege kuwa habari.

Wakati hizo enzi za mwalimu unazozisema tulikuwa tunaenda vacation Dar Kilimanjaro kwa ndege.
 
Tutajieni be ikwanza.. Ili tupime
 
Mnajua mnabeza kwa kuwa hamuelewi kupanda ndege economy class na kuwa kwenye business class.

Nauli ya business class ni sawa na nauli ya economy mara 2.5, sasa wewe upo tayari kujilipia nauli yako na mwenzako na nusu halafu unasafiri peke yako?
 
Habari wana JF,

Kweli mziki unalipa sana,Msanii wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana Fa) aonyesha jeuri ya fedha. Mwana Fa asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanaotumia matajiri wakubwa, ona picha ya chini, nadhani Mwana-FA anamjibu Mtanzania genius aliyepanda bizness class.

View attachment 226842

Duu, kapanda ndege! ?
Miaka ya 60 ndio lilikuwa swali.
Leo bado habari?
 
Mbona hii ndege ni Business class Ya Emirates, unataka kutu chefua roho na habari yako, kama pesa inaruhusu why not...
 
Mnajua mnabeza kwa kuwa hamuelewi kupanda ndege economy class na kuwa kwenye business class.

Nauli ya business class ni sawa na nauli ya economy mara 2.5, sasa wewe upo tayari kujilipia nauli yako na mwenzako na nusu halafu unasafiri peke yako?

Kama unaweza ku afford business Au first class Shida iko wapi? Zamani ndio ilikua chakushangaza sikuizi kawaida tuu Mkuu..
 
Back
Top Bottom