Msanii anayefanya muziki wa Hip Hop kiharakati zaidi, Roma Mkatoliki kaamua kuwafungukia mastaa wenye tabia ya kuomboleza misiba kupitia account zao za Instagram pekee bila kushiriki msiba.
Roma...
NI kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa madada zetu wa kibongo hasa hasa hawa wanaojiita mastaa na nimegundua kuwa kuna element flani flani za UCHANGUDOA.
Watu kama...
Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya...
jamani wanajamii wenzang naomba kujua kwa yeyote anayefahamu chanzo cha mgogoro wa Ruge Mtahaba na Joeseph Mbilinyi .ak.a sugu ulianzia wapi na je hauna suruhisho.
Wakuu,
Naombeni jibu kati ya hawa wasanii wawili wa maigizo Wema Sepetu na Jackline Wollper ni nani yupo juu ya mwenzake kwenye uigizaji? Naomba tuambiene kwa kila mmoja kwa mtazamo wake ili...
Mwigizaji Mlela anasema anasema tofauti kubwa ya filamu nje yaani Africa, Ulaya na America na zile za bongo ni fedha tu. Wenzetu wanawekeza fedha nyingi kwenye filamu moja tofauti na sisi. Je...
Komandoo jide jana alifanya show na kiba
Katupia maneno insta kumshukuru kiba Kwa kumpa support despite uoga wa wasanii wengine kutompa support Kwa kuogopa watu flani flani nadhani mnawajua...
Muke ya mzungu aka lucy komba (pichan ) akiwa kaweka pozi matata, pamoja na mtoto wake wa kiume. Ila lucy sio kwa pozi hilo, na ilo jicho vipi tena? Au ndo matunda ya ndoa? By the way tumemis...
Hafsa Kazinja akipozi.
MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo...
Jana, Wakati akihojiwa na Mwanadada Shadee kwenye Kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Msanii 'Fundi wa Muziki' kutoka nyumba ya vipaji THT, Barnaba Elias 'Barnaba', pamoja na mambo mengi...
Wakuu,
Kuna hawa wasanii wa kike wamekua wakiishi bila ya kuolewa na ikitokea wameolewa basi hawafikishi miezi 6 wanaachwa. mifano ipo kibao hapa bongo kuna huyu Komandoo lady na wengineo ya...
Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi juu ya hizo tuhuma
Lakini baada ya hapo sikusikia tena...