Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwenye moja ya magazeti ya udaku ya leo nimeona habari ya Lulu kumwaga million 1 na laki 4 kwenye birthday ya Kajala, halaf wengine wanamwita yeye tajiri mtoto. Jamani kumwaga 1.4 million tshs ndo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana...
0 Reactions
105 Replies
16K Views
  • Closed
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amemshtaki aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally na aliyezaa naye mtoto kwa madai kuwa mwanamke huyo hana maadili na anahofia atamharibu mtoto wao...
4 Reactions
532 Replies
136K Views
...Wa kwanza kuuza tape mwenyewe, wa kwanza kufanya biashara na Wadosi, wa kwanza kwenda Ulaya kufanya show, 98 jukwaa moja na Oliver Mutukuz Sweden, wa kwanza kuleta wanamuziki toka America Lost...
15 Reactions
286 Replies
38K Views
Acha movie iendelee
0 Reactions
70 Replies
15K Views
Mama wa EGYPT kaja na list mpya sasa iwahini muiweke hapa kabla hao waliotajwa hawajamwakia awaondoe from her blog 10 MOST INFLUENTIAL TANZANIAN WOMEN FOR THE YR 2011......
0 Reactions
8 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=264964&stc=1&d=1435767171
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwangu binafsi ni mtangazaji niliyekuwa namkubali mno kipindi hicho alipokuwa redio Tanzania Dar es salaam na sasa ni TBC. Alikuwa akinivutia mno hasa wakati wa matangazo ya mpira wa miguu aka...
0 Reactions
27 Replies
14K Views
BEYONCE KUSHIKA MIMBA SOON!
0 Reactions
31 Replies
52K Views
Mimi ni mdau mkubwaa sana wa mziki sana. Huwa napenda kufuatilia kila mwanamziki awe mdogo au awe mkubwa. Tatizo lina kujaa palee baadhi ya wanamuziki wanapotoa music video utasikia anaenda ku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DMX is getting within shooting distance of a deck of cards populated by his mug shots, because he was arrested again Friday night. Law enforcement sources tell TMZ, the rapper was en route to...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Okey wadau za asubuhii... Kwa wale wote wanaotetemeka juu ya Dangote kutoa kitu kipya calm down all of you, mtapasuka mwisho wa siku hahahaha, msijali hatoi nyimbo yake mpya kipindi hiki...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
[Chorus x2:] Let a nigga try me, try me I'm a get his whole muh'fin' family And I ain't playin with nobody Mess around and I'mma catch a body [Verse 1:] B!*** I got the mac or the 40 Turn a b!***...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ametuma sms kwa Dullah kuwa anasikiliza Planet Bongo kipindi ambacho kinapiga nyimbo za bongo fleva (watu wa mataifa, kama ambavyo wanawaita wao). My take: Watu wa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Leo nimeona picha ya wana magamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi,kilichonishtua ni hali ya aliyekuwa Iron lady wakati fulani Zakhia Meghji,kawa mdogo si kama yule mama aliyekuwa na siha...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Mwenyewe aapa mtaipenda Baada ya kama RONALDO sasa hivi ni Kama NINJA!
6 Reactions
88 Replies
14K Views
Vanessa Mdee. Maarufu kama Vee money yeye ni recording artist, rapper, songwriter, na mtangazaji wa vipindi vya television na redio,mitandao mengi ya huko nchini Kenya ili ripotiwa kumfananisha...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Salaam wanaJF, Kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe...
1 Reactions
34 Replies
30K Views
NEWZTANZANIA.: USWAHILINI MATOLA..WAMEPOTELEA WAPI? Jamaa walikuwa wakali sana miaka ile, Pini lao la HAKUVAA KONDOMU lilibamba sana. Walikuwa wanaweza sana na albamu yao ilibamba pia. Je,wako...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hello wakuu! Mimi ni mfuatiliaji wa Music. Katika siku za hivi karibuni umezuka ugomvi kati ya Birdman na Lil Wayne. Natamani sana kuelewa chanzo chake kwa mtazamo wangu nahisi hawana ugomvi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…