Wema Sepetu: Siwezi kumsapoti Diamond kwenye MTV Awards, nitaonekana ninajipendekeza

FROWIN

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
213
84
WEASS.jpeg

Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...

Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha nyuma na hawezi rudia kosa..

Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti Ali Kiba katika tuzo za Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye Mwenyewe Kumuomba Wema Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost kwenye Account yake ya Instagram.
 
Inawezekana ikawa kweli Ali kiba akaomba sapoti ya wema na jokate sababu hata instagram wema anafollowers 700,000's,jokate ana 500,000's wakati msanii chipukizi Ali kiba ana 300,000's.
Kwa hali hiyo jokate na wema ni mastaa na wana umaarufu kuliko kiba
 
Hater.
 
ha ha ha ...
 
Ni yeye tu anayeangaika na DIAMOND,lakini DIAMOND hana muda wa kumuongelea wala kujihusisha na lolote linalomuhusu huyu mal..........

Mkuu samsun, kamilisha sentesi yako kw kujaza maneno yalio bakia kwenye hizo dotidoti aiseeee
 
Last edited by a moderator:
anatumia jina la diamond kijinufaisha bila ridhaa yake, haipiti wiki bila kumtaja jamaa
 
Wema atakuwa anawashwa kiarage na mkunaji alikua dai sasa kila akifikiria zari anakunwa rohoo inauma jana alikuwa kama kapaniki hivi.
 
Hours ago, Diamond amerusha post kuwapa warning wanaoandaa Miss Kilimanjaro kwa kusambaza posters zinazosema kuwa Zari atakuwepo siku hiyo ambayo yeye pekee ndie ameingia nao contract kutumbuiza.

Nimependa msanii wa Tanzania na mkewe Zari kuthamini majina yao...mwenye screeshot atarusha ameelezea hadi watadaiwa nae. Ndio wakome wa Tanzania wanao onea watu wale wao tu.

OK, so huyu Wema anatumia jina la Diamond kuvutia watu kuangalia kipindi chake sababu hakuna la umuhimu kumtaja taja kila kupindi bila ruhusa yake. I hope watapewa yao walipe. Wasanii wengine watumie mfano huu sio watu kutajwa tajwa majina bila mikataba.
 
Umehadimika balaa...
 
Back
Top Bottom