Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nimeamini Lowassa ni chaguo la Mungu,yani kila napopita ni Lowassa tu aiseee hakuna nani wala nani wote kafunikaa,ni mtu anaeongozwa kusemwa sana kwenye vyombo vya habari kama tv,magazeti,radio...
10 Reactions
47 Replies
7K Views
Katika miaka yote hakika mwaka 2015 umekuwa wa mafanikio sana kwa Diamond Platnumz kikazi na maisha binafsi. (1) Princess Tiffah: Hii ni furaha ya Diamond kwa sasa, kwa muda mrefu amekuwa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Sikutegemea kama kuna siku ningekaa na kufuatilia tamthiliya ya kiswahili ya kibongo tangu kuvunjika Kaole sanaa group,Enzi zile marehem mpendwa wetu kanumba akiwa hajaota kitambi,Ray akiwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii alikiba ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya habari vya tanzania kutoupa uzito wowote na kutotoa ushirikiano wowote kushiriki kwake kwenye kampeni ya...
0 Reactions
84 Replies
13K Views
Huyu kijana kanifurahisha sana hakusahau alipotoka baada ya kufanikiwa. Kajijenga kwa umri mdogo sana, pesa haijamsumbua kufanya ya walimwengu kwa umri mdogo alionao. Ameweza kuepuka na temptation...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nasikiaga wanasemaga wanja sunna ni hadi kwa watoto wa kiume?
0 Reactions
157 Replies
25K Views
MAMA mkwe wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond ' ambaye pia ni mama mzazi wa mzazi mwenza wa staa huyo , Zarinah Hassan ‘The Boss Lady ', Halima Hassan amempigia chapuo...
0 Reactions
120 Replies
32K Views
Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mtoto wa Dangote leo anafikisha siku 40 za kuzaliwa.. =========== ====== Diamond knows how to brand his products. So tonight on Clouds TV people will take a tour to his house. Whether it...
7 Reactions
132 Replies
44K Views
MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Wabongo bwana kabla ya uchaguzi mada mitandaoni ilikuwa team Kiba na team Diamond mara ikaja boxing kila mtu team Mayweather wengine team Pacqiao pambano likaisha tukarudi tena kwenye team Kiba na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Today is Zitto Kabwe's birthday Wish Zitto Kabwe a happy birthday Thursday, September 24th HBD ZZK P.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Diamond ni nooma sana, hakika hakukosewa kuwekwa kama Nembo ya Taifa la Tanzania bado kidogo tu tuanze kumtumia kwenye fedha halali kwa malipo ya Tshs zikiwa na picha yake, mimi nitapendekeza iwe...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
  • Closed
huyu binti ni mdogo wake na Hoyce Temu.......mashalaah mtoto huyu kuna kipindi alivuma sana mjini hasa kwa sifa ya shepu na umbo lake matratraa............naomba kujuzwa yupo api siku...
0 Reactions
70 Replies
22K Views
Ni dhahiri na wazi kabisa wasanii wengi wa bongo fleva na bongo movie katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wamekuwa vinara wa kuvipga tafu vyama vya siasa, wengi wana support...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti hawazid hta watano waliomaliza form six?usiulizie degree maana huko ni sawa na kuiona pepo wakati ulikufa ukiwa unazini....maana ukitoa wale ma miss wa kipnd kile kanumba aliowa'boost cdhani...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi...
7 Reactions
600 Replies
66K Views
Katika hali isiyo ya kawaida,gwiji la mziki nchini Tanzania limepoteza tuzo moja katika sherehe ya 40 ya mtoto wake. Jinsi alivyoshituka. Mara baada ya kumaliza kupata chakula nakupiga picha na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu habari! Nipo kigamboni hapa na jamaa mmoja wa karibu sana na Rais wa Wasafi, Sio siri yale aliyonieleza nibaki tu mdomo wazi. Kumbe siku hizi kuna tuzo za kununua kulingana na...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…