Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Katika pita pita zangu katika mitandaoni nimekutana na huu ujumbe katika page Shilole kuomba msaada achangiwe ina maana mziki haumlipi.? Au ndo kuna matapeli wanatumia fursa.?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
:mimba::mimba::mimba:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenzenu sikuwahi kuwa na mazoea ya kuangalia movie zetu za hapa nyumbani kwa maana mara nyingi huwa actors wana overdo hadi nikawa naboreka. sasa last weekend kwa kufuata ushabiki wa watoto...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Hatimaye staa wa bongo Nassibu Abdul (Diamond) awa baba baada ya mchumba wake Zari kujifungua mtoto wa kike asubuhi hii. ==== ==== Ama kweli dunia ina mambo! Wakati wengine wapo Instagram...
9 Reactions
401 Replies
90K Views
Rest in peace a Brooklyn MC Sean Price, who died in his sleep. Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa Hip Hop huyu jamaa ni one if the illest MC na kuna wasanii wa nyumbani kama kina Nikki Mbishi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, Nimekuta hii post kwenye account ya fb ya Mganga huyu maarufu wa kienyenyi nchini TZ Manyaunyau, baadhi ya picha zinamuonyesha akiwa kwenye mjengo wake wakisasa na nyingine akiwa...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Nilipata kumsikia one day akihojiwa kwenye kituo x cha redio akisema "you know,mimi ni kioo cha jamii" Hivi wewe binti unaelewa maana ya kioo cha jamii? Kuonesha miguu yako ya rangi mbili mpaka...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Binafsi sijawahi kusikia inshu hii ya website-kupotea kisa wingi wa kura anazopigiwa msanii, Kitendo hichi kimetokea Leo baada ya website ya NEA AWARDS kupotea hewani kutokana na wingi wa kura...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen aka JB amesema amesikitishwa na mfumo wa elimu ya Tanzania baada ya kushindwa kumpata mtanzania wa kushika nafasi ya masoko kwenye kampuni mpya...
6 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu: Hii ni list ya wasanii wanaongiza pesa nyingi Africa Mashariki.. 1.Daimond 2.Saut sol 3.christina shusho 4.Ali kiba 5.Bahati 6.Lady wanjara 7.jose chameleone 8.Bahati Ila mimi...
0 Reactions
44 Replies
16K Views
Wadau naombeni mwenye namba ya cmu ya wema sepetu ani pm pliz niipate mapema.
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Wanamwita mzee wa zaidi ya habari. Napenda uchambuzi wake kwenye kipindi cha Morning Magic. Ni mchambuzi na mtafiti wa kweli. Wadau tupeni details za huyu mwanahabari. Anaweza kuwa role model wangu
0 Reactions
36 Replies
16K Views
Habari zilizosambaa leo kutoka kwenye gazeti moja zinasema familia ya Diamond pamoja Na marafiki walishangazwa na kitendo cha Diamond kuzipeleka tuzo saba alizoshinda kwa Wema Sepetu badala ya...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Kuna jamaa wa B-hits anitwa Deddy, mimi nikimsikiliza naona anajua sana, hata ukisikiliza nyimbo alizoshirikishwa ana style yake flani ya tofauti. Amesikika kwenye ngoma ya Mabeste ya Ndole...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Akiwa anazungumza kwa madaha katika kituo cha Magic fm kipindi katika kipindi chao cha michezo huku muda mwingi akitumia kuiponda Simba, na haswa viongozi wake na haswa akimlenga msemaji mwenzie...
2 Reactions
64 Replies
16K Views
ATLANTA - Channel 2 Action News has learned Bobbi Kristina Brown, 22, daughter of the late Whitney Houston, has died. Her aunt, Pat Houston, told Channel 2 Action News in a statement: "Bobbi...
2 Reactions
83 Replies
15K Views
Nimekuwa kwenye wasiwasi na hii mikufu ya dhahabu wanayovaa Macelebrity wetu hapa Bongo, wachanga na wakubwa. Tena kwa size mbali mbali mpaka nyingine zinaelemea shingoni, ndiyo ni fashion ya sasa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Ni wasanii gani Tanzania wanaoishi maisha ya ukweli kwenye mitandao ya kijamii? Ni wapi pia ambao wana hadhi ya kuitwa superstars? Manake kila msanii hujiita superstar sijui kwa kutumia vigezo vipi?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Msanii Nuhu Mziwanda amerekodiwa akimtongoza Wema Sepetu what a bad week for Shilole.
2 Reactions
58 Replies
22K Views
Apata followers 304,000 sasa akiwapiku wale waliokuwa wakimupiku ambapo JM KIKWETE alikuwa akioza na kwa sasa ana followers 303,000 akifuatiwa na ZITTO mwenye followers 300,000 ila kwa EAST AFRICA...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…