Wale wanaojifanya miunguwatu walioshindwa kumshusha king of afropop wapo wapi kumpandisha huyu jamaa awike angalau hata mwakani nae apate tuzo za pombe cc. Dinazarde na wenzako embu wasaidieni watu wenu na roma, ney wa mitego, msaga sumu muwapeleke hata international ya kufahamika kenya tu hapo maana diamond ndio huyooooo na kesho tunachukuwa tuzo zetu mbiliiiiiiiiii!!!!! dadadadekiiiii!!!!!!!!!!!!
Haka kamtu ndo kalikuwa kajitu cha kwanza kumfitini DIAMOND ili ashuke kenyewe kakawa kanatoa ofa kama utakuwa na nyimbo ya kumuimba DIAMOND basi chenyewe kinakurekodia bure.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.