Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu ni mmoja ya kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku kuwahi kutokea katika hii dunia. Embu tujikumbushe kidogo na hii ngoma yake Inaitwa Ng’e. Btw wale watoto wa bongo...
18 Reactions
71 Replies
17K Views
Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata. Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango...
0 Reactions
5 Replies
277 Views
Mchekeshaji Mzee Shayo amemkosoa vikali Coy Mzungu, akimtuhumu kuwanyonya vijana kwa manufaa yake binafsi na kudai hafai kuitwa game changer wa ucheshi nchini. Shayo amesema game changer halisi...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Nilikua nacheck mtandaoni namna shughuli ya 40 ya mtoto wa Wema ilivyokua. Miongoni mwa wageni waalikwa na ambao wametambulishwa kuwa ni wajomba wa mtoto ni huyu mtumishi wa Mungu anaejiita...
1 Reactions
10 Replies
465 Views
Wakuu Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025) Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe...
17 Reactions
363 Replies
15K Views
Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui 😂😂😂 Je yeye amewahi toa...
13 Reactions
51 Replies
932 Views
Kama ulikua hujui ni MTU GANI HAPA TANZANIA AKIONGEA KITU HADANGANYI wacha nikufahamishe;- Mtu ambae akisema kitu haongopi ni DUDUBAYA, Huenda ukabisha kuhusu hiki ninacho kisema...
12 Reactions
102 Replies
2K Views
Eti mwanaume bora wa mwaka? Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka? Alikua anashindanishwa na nani?
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Nimeona huyo mtangazaji wa Clouds anaongelea mambo ya kisiasa ila Nina mashaka na taaluma yake na uwezo wake wa kuongelea national issues
2 Reactions
8 Replies
438 Views
Ni nani anayemjua vyema huyu ndugu? Nasikia ni “Nabii” Je, huduma yake ipo wapi? ============= Huyu ndugu jina lake halisi ni George David Kasambale. Ni mwenyeji wa Singida. Mimi nilianza...
9 Reactions
566 Replies
152K Views
Diamond Platnumz ni mmoja wa watu waliobeba na kuikuza Bongo Flava mpaka ikavuka mipaka ya Tanzania. Kwa mchango wake, wengi wanamhesabu miongoni mwa wakongwe wa muziki huu. Ndiyo maana...
6 Reactions
42 Replies
984 Views
Salaam Wakuu, 1. Ni aibu sana.. Msanii unaingia kuimba unapiga kelele. Kwa kelele hizo, pumzi zinakata hata hajamaliza Beti ya kwanza. 2. Wanalazimisha watu kuweka mikono juu, kupiga vigeregere...
4 Reactions
21 Replies
466 Views
Aliyekuwa mwigizaji wa filamu za utupu (zaidi ya filamu 100), Jazmine Cashmere, ametoa ushuhuda kwa namna Yesu alivyobadilisha maisha yake, na sasa ameamua kuokoka na kumtumikia Mungu pekee...
19 Reactions
80 Replies
3K Views
Bongo Star Search 2026 - Msimu wa 16 🔥 Sasa inaitwa CRDB Bank Bongo Star Search 2026 Mambo muhimu ya msimu huu: 1. Theme & Zawadi Theme: "Next Level Revolution" + "Beyond Borders" Mshindi...
9 Reactions
400 Replies
4K Views
Leo nilikuwa nasikiliza ngoma za early 2000's Hawa eastcoast team walikuwa wanajua ngoma zao zina hisia flani ambayo naimiss kwenye ngoma za siku hizi mfano 1. Hii leo- Gk ft F.a na AY 2. Kosa...
3 Reactions
43 Replies
14K Views
1. Hasheem Thabeet net worth: Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who has a net wroth of $8 million. Hasheem Thabeet was born in Dar es Salaam, Tanzania in February...
4 Reactions
61 Replies
46K Views
Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema.... "Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu". Wana familia wa New day...
10 Reactions
160 Replies
9K Views
Wahenga salaam, Nakumbuka zama hizo Sinta aliibukia kwenye uigizaji enzi hizo na ray Kigosi , ghafla Shigongo naye akadondoka na magazeti ya udaku, miaka hiyo penzi la P Didy na j lo linatamba...
28 Reactions
154 Replies
40K Views
Vigezo vyangu A. Mashairi B. Ujumbe C. Heshima ndani ya Mashairi D. kucheza na jukwaa E. Muda wa Mziki wake kudumu Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa...
6 Reactions
44 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…