Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Producer Shedy Clever anadai kuwa ana nyumba yake kubwa anayojenga japo hijakamilika kwa 100% ila ni nyumba ya kisasa, nyumba hiyo anasema itakuwa kubwa yenye vyumba 4 na studio ndani,garden, counter nje, parking kubwa, dining room, gym na mbwembwe nyingine na imemgharimu fedha nyingi sana na ni matunda ya kazi yake
Pia mbali na muziki anasema ana maduka ya nguo na simu na biashara za usafiri za bajaj na bodaboda
Pia mbali na muziki anasema ana maduka ya nguo na simu na biashara za usafiri za bajaj na bodaboda