mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,772
- 7,141
wana Jamvi,
Ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta.
Tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoyo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha?
Mlolongo wa vifo unasemekana kutokana na maradhi ya kisasa na Dawa za kulevya. sijajua kwanini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya.
Angalia Banza Stone, Diana Aston Villa, Halima White, Amigolas, Baba Diana, Aisha Madinda na wengine wengi.
Labda Mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. Hivi sasa Mango kisiwa cha burudani kimekufa, hapo bado kupiga mziki kwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.