Nyimbo ya diamond platnumz kidogo imechaguliwa kuwania tuzo za africa entertainment legend awards (AELA ) Awards nnchi Nigeria katika kipengele cha best collabo
Nyimbo hiyo aliwashirikisha...
Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefunguka na...
Floyd Mayweather ni kama ATM Mashine inayotembea. Wikiendi hii mwanamasumbwi huyo mstaafu alimmwagia rafiki yake wa muda mrefu Lil Kim zaidi ya dola 9,000(zaidi ya milioni 18 za kitanzania...yaani...
Rais wa Mbeya hatimaye amewapa go ahead vijana wa mawingu baada ya kumuomba Sana wafanye fiesta kwenye nchi yake, Habari zinasema mtu wa kwanza kuonana na rais huyo alikuwa ni general manager WA...
Msanii Raymond amesema nyimbo ya Salome aliyofanya na Diamond imempa umaarufu maradufu na sasa anapigiwa simu kutoka sehemu mbalimbali duniani akiombwa afanye kolabo.
Amesema amepigiwa simu...
1.Kama sikosei Kanzu ni Vazi linalotumiwa na saana na dini ya Kiislamu,japo hata wakristo hutumia lakini si kwa kiwango kikubwa.
Nikizungumzia Upande wa Dini yako yaani "Muslim" Vazi hilo kidogo...
Kanye West alinukuliwa akisema kua tukio la kuvamiwa kwa mkewe lilimfanya awe "helpless" na akasema atafanya kila liwezekanalo kuilinda familia yake(ofkoz pesa anayo)
Hivyo basi kwa kushirikiana...
Wanamuziki Alikiba na Wizkid walitunishiana misuli juu ya nani aimbe kabla ya mwenzake kwenye show ya Mombasa
Alikiba alikataa kuimba kwanza kwa madai kuwa yeye ni mwanamuziki mkubwa Kenya...
MARLAW mzee wa pii pii ameachia website ya ukweli sana ambayo sijawahi kuona toka kwa msanii yoyote hapa bongo mwenye website kali na ya ukweli kama hiyo.
muziki unasikika clear sana, na...
Nimeshuhudia wasanii wengi haswa wa mziki na maigizo wakiacha hizi kazi na kusema wameamua kumrudia mwenyezi Mungu,wengi wakitubu zambi walizozitenda,Je kuna uhusiano wowote kati ya kuwa msanii na...
Wana jamvi wasalaam...
Wana jamvi katika adhabu ambayo anaweza kupewa mtu na ikamuumiza sana na akashindwa kujua la kufanya au suluhu ni adhabu ya kupuuzwa.
Adhabu ya kupuuzwa ndio aliyo pewa...
Msanii wa Hip-hop wa Nigeria, Ycee ameungana na mtayarishaji wa muziki na muimbaji wa Afrika Kusini, DJ Maphorisa kwenye remix ya wimbo wake unaofanya vizuri barani, ‘Omo Alhaji’.
Ikifanyika...
Leo katika pitapita zangu youtube nimekutana na video ya Baraka na Ali Kiba inayokwenda kwa jina NISAMEHE.
Kilichonishangaza ni kwamba ina wiki moja tangu iwekwe youtube lakini mpaka sasa ina...
Ali Kiba ni msanii mwenye "jina" kubwa, lakini hataki kulitumia jina lake kunyanyua chipukizi,hana muda huo,ameshindwa kumtoa mdogo wake 'Abdu Kiba" atawezaje kumtoa Baraka?
.. Kwanini hatumii...
Inasemakana eti yule video queen mwenye mfanano na amber rose tuko chini ya ulinzi huko Arusha baada ya kujaribu kupitisha sembe kwenda nchi ya jirani Kenya kwenda China Kule kwa jack wa jux...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.