Shughuli hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkali wa masauti Christian Bella alikuwa mmoja kati ya wasanii ambao walialikwa na...
Nikirejea historia za haya mabifu mi naona kama zinawasaidia. Hebu tuangalie kidogo: Nasma kidogo na Khadija Kopa jinsi walivyojaza kumbi mashabiki, Banza Stone akiwa TOT na Ally Choki akiwa...
Kwa nini Kim na rafiki yake kipenzi, Simone Harouche walibaki chumbani wenyewe bila mlinzi wakati wakijua wana vito vyenye thamani kubwa na kujipiga picha kwenye mitandao ya kijamii?
Kwa nini...
..Akihojiwa katika kipindi cha D'weekend chatshow Diamond Platnumz amesema kuwa watanzania wampigie kura Ali Kiba ili tuzo ije nyumbani na sio kusema kuwa mimi ni shabiki wa Diamond hivyo simpigii...
Diamond Platnumz ameweka video yake akiwa na zari chumbani wakifanya mambo, kwenye video hiyo Diamond anaonekana akiwa kitandani amemlalia na akimng'ata Zari chuchu huku Zari akiwa kimya
Diamond amedai kuwa idadi kubwa ya watu, hususan kutoka Tanzania ilikuwa ikipiga simu kwa wakala aliyekuwa akihusika na mauzo ya nyumba aliyonunua Afrika Kusini kutaka kujua kama ameinunua kweli...
Mimi ni mmoja wa shabiki mkubwa sana wa bizzybabylon baisa (mr.blue),kuanzia flow na uandish wake,lakin hivi karibuni amekua na mtindo wa kurudia baadh ya mashair katika wimbo zaidi ya mmoja.
Kwa...
Mwigizaji Wastara aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar.
Kabla ya ndoa hiyo Wastara alikuwa kwenye...
Tuzo za BET hip hop awards zimefanyika Atlanta’s Cobb Energy Performing Arts Centre, Host wa show alikuwa Dj Khaled, Waliofanikiwa kuondoka na tuzo ni:
Best Hip-Hop Video: Drake, "Hotline Bling"...
Katika kipindi cha D'wikend chat show cha clouds TV, ameulizwa " Meneja wako Sallam analalamikiwa yupo too hasrh and over protective to you. Unalizungumziaje?". Amejibu " Sallam yupo kwa ajili ya...
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini Ubelgiji.
Gari hilo alilonunua mchezaji huyo ni Benz Cla220 Cdi AMG Sport...
Kwanza naomba ieleweke kwamba mimi sina team kwenye muziki.bali napenda wimbo mzuri na sio msanii.
Sasa nirejee kwenye mada,ni hivi.huyu dogo wa wasafi RAYMOND ni msanii mzuri kuliko hata...
Kim Kardashian anadaiwa kuvamiwa na watu wanaohisiwa kuwa ni majambazi waliokuwa na silaha huku wakiwa wamevaa sare za polisi na sura zao wakiwa wamezificha wakati akiwa hotelini huko mjini Paris...
Wadau kama kichwa kinavyoonesha hapo juu kutokana na kipaji cha huyu bwana Mdogo mbeleni kuna uwezekano Wa kuwafunika WCB wote ikiwemo Boss wao diamond. Hivyo anaweza kuondolewa chamani ili...
Licha ya mastaa wengi wa kike wa filamu nchini kubebwa na make up na madawa mbali mbali ya kuongeza mvuto, kuna baadhi ya mastaa wachache ambao wamekuwa waking'ara na kuvutia na mionekano yao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.