Tetesi: Amber Lulu yamkuta, atiwa mbaroni Arusha kwa tuhuma za madawa ya kulevya

Complex Minder

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
534
160
Inasemakana eti yule video queen mwenye mfanano na amber rose tuko chini ya ulinzi huko Arusha baada ya kujaribu kupitisha sembe kwenda nchi ya jirani Kenya kwenda China Kule kwa jack wa jux
Mwenye habari kamili au fununu tuambizane jamani
 
Tulia basi mkuu yani anatoa unga tz anapeleka china try to be serious kidogo ulete habari yenye uhakika
 
1475741376344.jpg



1475741386778.jpg



1475741397816.jpg
Huyu ndiye Amber Lulu AKA Chogo zege
 
Si awaachie wazee kitu kidogo tu aendelee na safari yake, zengwe la nini sasa!!
 
Anaona wenzake wanaosha kila siku...akiwauliza wanapata wapi chapaa, wanakuwa na kigugumizi...binti wa watu akaamua kujiongeza.

Ombi langu ni kwa Magereza zetu ziwe na shughuli za uzalishaji mali...watu kama hawa wakalime, wapalilie, wavune...miaka kumi wakitoka huko wanajua pesa halali hupatikana vipi.
 
Back
Top Bottom