Hakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana...
1. SALLAM: 'Alikiba kama amekosea yeye anatakiwa kuomba radhi mashabiki wake na Promota, pia aombe Mungu next time kila kitu kiende vizuri'
2. SALLAM: 'Wakati Alikiba anatumbuiza sikuwepo kabisa...
Vanessa mdee ambaye pia ali pafomu Mombassa ametaja sababu iliyosababisha Ali Kiba kuzimiwa mic ni kuwa Chris Brown aliingia akiwa hana mood nzuri, kwa hivyo ili kumfurahisha wale waandaji ikabidi...
Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa(mkataba) yake na vodacom ndio sababu inayomfanya...
Kijana Baraka kutoka Mwanza ameonesha nyumba yake ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.
Hongera sana kwa hatua hiyo kama kweli ni yako maana wasanii ninyi hamuachi usanii kwa kila jambo.
Aidan Charlie ambaye ni meneja msaidizi kutoka
kwenye Menejimenti ya mwimbaji staa wa
bongofleva Alikiba ameongea kuhusu tuhuma
mbalimbali zilizotolewa dhidi ya Alikiba
kutokana na show ya Mombasa...
Apo chacha!!
Belle 9 amesema hafikirii kabisa kufanya muziki wa Singeli.
Muimbaji huyo wa R&B amesema huo ni muziki wa kupita
na katu hauwezi kudumu.
Alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa swali na...
U hali gani Ali Kiba? Natumai u mzima kabisa na unaendelea vyema na shughuli zako za muziki.
Mimi kama shabiki/mpenzi na mfuasi wako napenda kukupongeza kwa kitendo chako cha kishujaa na chenye...
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya...
Yule mkuu wetu ukimruhusu kuongea tu lazima achafue hali ya hewa
Eg tetemeko halikuletwa na serikali...fanyeni kazi
Yaani yule jamaa angekaaga kimya atende tu si tuone ila akiongea lazima...
Huyu ni diamond mpya aliyetokea nchini Kenya
Diamond fake anafanana kwa kila kitu na diamond platinums jina lake kamili anaitwa willy Paul daaah ebu mcheki hapa....
Habari,
Naomba kujua nani anayefahamu historia fupi kuhusu mtangazi wa zamani Clouds, BBC na kwa sasa Azam, Abdul mohamed anatokea mkoa gani?
Mwenye uelewa please
Wakuu mnakumbuka tukio la Kiba kuzimikiwa na mic kwenye tamasha la Mombasarocks?
Akihojiwa na kipindi cha Mseto Citizen na mzaz Willy Tuva, Kiba alidai kuzimika kwa mic yaweza kuwa ni figisu za...
Habari wakuu...
Huyu kijana nimekuwa nikiona watu wengi wakimdiss lakini sasa naamini baada ya kutokwa povu na kummind Stan Bakora kisa kucreate cover video ya wimbo wake na kujipaka masizi usoni...
Baada ya Wizkid kutumbuiza nyimbo zake zote ndipo alipopanda mzanii wa bongo Alikiba na alipoanza kuimba mike yake ikazima baada ya kurekebisha msanii uyo aliimba nyimbo 2 tu maarufu , nyimbo za...
Muigizaji na mchekeshaji kwenye tasnia ya Bongo Movie, Tausi, amesema hana mahusiano yeyote nje ya kazi na Hemed PHD huku akisema huwa wanakutana kambini na hana hata namba ya simu ya msanii huyo...
Tanzanian artiste Ali Kiba found himself swimming in murky waters when he appeared late for his performance at the Mombasa Rocks Festival held at the Mombasa Golf Club last Saturday. The event...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.