Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

brigedia mafia

JF-Expert Member
Jul 21, 2016
2,264
2,275
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??

Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi

Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni

Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi

We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
1476044096185.jpg

Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
 
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kibakuli kwa ubinafsi na unafiki??

Kibakuli namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi

Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni

Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi

We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??

View attachment 415252

Watu wa karibu wa Ally Kibakuli mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
1476044605325.jpg
 
Ali Kiba anaweza kuwa si mbinafsi, hana communication skills tuu, na pia anakosa menejiment bunifu at least ya kumfanya awe ana wasiliana na washabiki wake, hasa kuto mfollow mtu hata mmoja huko IG nadhani ni kosa la kiufundi menejment yake ina takiwa iliangalie
*lakini kama hai mcost kimuziki bas tumuache aish maisha yake
Ndo anafurahia ikiwa hivo
 
Hilo swala la kutowatakia heri ya kuzaliwa wenzake unalizungumziaje?
 
Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom