Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714
Kijana Baraka kutoka Mwanza ameonesha nyumba yake ikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.

Hongera sana kwa hatua hiyo kama kweli ni yako maana wasanii ninyi hamuachi usanii kwa kila jambo.


tmp_31262-14561995_555950847934048_6751315257869729792_n-124307099.jpg
 

Attachments

Baraka naee...sa'kwann kaamua kujenga kweny mtelemko?!Nyumba siitaslide hiyo..
 
nimependa tu madirisha yalivyo madogo hadi raha. ha ha
 
Rockstar4000 labda wampe tuzo ya fitna n majungu mana kijana anajua sana fitna za kariakoo
Mbona jamaa yuko poa anaishi maisha ya kawaida na demu wake mzungu sema akiongea ukweli watu huona kama ni majungu!
Kwaiyo Ali kiba anangojea rockstar wampe nyumba sasa ivi anajibana kwa gavana wa mombasa
Kijana kashawekeza vibanda vya kutosha kwa watu wake wakaribu wanalijua hilo sema hapendi kujionesha kwenye mitandao!
 
Hongera zake hatua kubwa
Jamani mziki unatoa na hii halia haisomeki nianze kujiimbisha labda ntaonwa na rockstar4000 au wcb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom