Habarini,kama habari inavyojieleza hapo juu,ndivyo ulivyokuwa huko Nigeria.
Mara tu baada ya EMA kueleza kinagaubaga,vyombo vya habari vya burudani nchini Nigeria vimemwelezea Alikiba kama msanii...
Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba...
Hata kama unapenda kula pilau huwezi kuvua samaki kwa kuweka pilau kwenye ndoano. Hata siku moja usifikiri kwa vile wewe unapenda kitu flani basi watoto, ndugu na rafiki watakipenda.
Sio vibaya...
Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja...
1. Wema Sepetu
2. Agnes Masogange
3. Batuli
4. Irene Uwoya
5. Sinta
6. Kajala
Au mnasemaje wadau wa mademu wakali!
Ongezea wengine ambao ni gumzo na ukiweza tupia tupicha
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Moyo Mashine’ ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imewafanya wasanii wengi akiwemo yeye kushindwa kutimiza malengo yao ndani ya mwaka huu.
“Plan...
Kwanza nakupongeza kwa kununua kifaa kimoja kimoja mpaka ukakamilisha bend, umeweza kumiliki bend yako mwenyewe yenye kila kitu.
Umeanza kuperform live band ya bongo fleva yenye ubunifu
Wasanii...
Leo usiku mzima sijalala,nilikuwa nafikiria inawezekanaje mtoto mzuri kama huyu kushika mashine za udj bila kuchubuka wakati biskuti tuu hawezi kuvunja.Anyway mwenye namba zake anisaidie nataka...
Hawa wadada watatu wote 'biashara' yao ni moja, ila kwa nini huyu wakwetu amebaki kuwa tu daraja? Ina maana ya kwakwe hailipi tena au ?
Na kwanini wao wana akili kumzidi huyu wa kwetu?
Wasnii nao wameanza kuonja joto la kinachoitwa 'kubana wapiga dili' na sasa wamezungumza
Msanii Ben Pol amedai kwa sasa wasanii wengi mambo yamewabaidilikia na show walizokuwa wakitegemea watapata...
Hatamae Alikiba ametoa tamko rasmi kuwataka mashabiki wake kuacha kumtukana Wizkid kwenye mitandao , hii imetokana na alikiba kupewa tuzo ya mtv ema aliyokuwa amepewa mwanzo wizkid
Mashabiki hao...
kama kichwa kinavyoeleza Mimi sio team kiba ila hizi nyimbo zake zifuatazo ntaendelea kuzikubali milele zikipigwa huwa naskia mwili unasisimuka kiasi
1.macmuga
2.sindelera
3.hadithi
4.ile...
Leo niliamua kufanya utafiti hapa mtaani kwangu kwa mtindo wa kipima joto kuhusu mtangazaji nguli wa habari kutoka ITV.
Wadau wa habari nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu swali la kipima joto...
Habarini Wadau,
Aisee kwanza huyu jamaa anastahili Hongera nyingi sana, Huyu ni identity ya taifa kwa sasa within and outside of Africa.
Huyu jamaa pia ana busara na moyo wa kiume sio wa...
Model anayeitwa Calisah amedai video yake ya kimapenzi na wema iliyovuja imemsababishia majanga makubwa sana ikiwepo bibi yake kufariki kwa presha mara baada ya kuona hiyo video
pia amesema kuna...
Johannesburg – This week’s installment of Coke Studio brings you two musical giants – local megastar Cassper Nyovest and Nigeria’s Diamond Platnumz, both multi-award winning artists who have...
Star mmiliki wa Ngoma inayofanya vizuri kwa sasa ‘Kajiandae’, Ommy Dompoz, amefunguka na kudai kuwa tangu awe karibu na Mahasimu wawili Ali Kiba pamoja na Diamond Platnumz hakuna aliyewahi kutamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.