Ben Pol: Hali ya uchumi imekuwa mbaya sana, hatupati show, mapromota wamekimbia

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Wasnii nao wameanza kuonja joto la kinachoitwa 'kubana wapiga dili' na sasa wamezungumza
Msanii Ben Pol amedai kwa sasa wasanii wengi mambo yamewabaidilikia na show walizokuwa wakitegemea watapata kama walivyokuwa wanapata miaka ya Kikwete sasa hakuna
Amesema mapromota zaidi ya nusu kwa sasa wamepungua kwa sababu hawawezi kuwalipa tena wasanii kama walivyokuwa wanafanya mwaka jana
Ben Paul alikuwa atoe albam lakini ameifuta na tour ya wimbo wa moyo mashine ameifuta kwa maeneo mengi sababu fedha hakuna
 
Hali mbaya kila kona,madili hakuna,huduma hafifu,serikali imejikita kubana matumiz ad mofukoni mwetu loh
 
Tena hao hao ndo walikuw wanapga kampen wakiw na sisiem sahv wanalia nn sasa..........

Unafiki acha wakomae maan ndo walikuw wnashawish wananch........................

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Waanze kufanya show za international kama Diamond Platnumz.

Tatizo wasanii wa bongo hawaigi mazuri ya diamond, wanachofanya ni kumdiss tu kila siku.
hupati show za kimataifa kwa kuwa unataka kufanya show za kimataifa, na huwezi ukakurupuka eti unaanza kufanya show za kimataifa kwa kuwa hakuna show nyumbani
kufika kimataifakunahitaji kujipanga broh, na hadi ufike kimataifa unaanzia nyumbani kwanza, hata diamond alianza kufanya vizuri tz ndio akaenda kimataifa
 
Tena hao hao ndo walikuw wanapga kampen wakiw na sisiem sahv wanalia nn sasa..........

Unafiki acha wakomae maan ndo walikuw wnashawish wananch........................

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
ben pol alikuwa anaimba nyimbo za CCM?
hata kama alikuwa anaimba, it was business, yeye ni msanii, akihitajika, hachagui wateja
 
Wasanii naona bora waisome namba maana hawaijui thamani yao. Ni vema mapromota wakapungua kabisa ili kupitia ugumu wa maisha wajifunze makosa yao na kujirekebisha. Kiulainilaini hawataelewa. Mwenzao Diamond ni ngumu kulialia maana alijitambua mapema na inaonekana bado ana njaa zaidi ya mafanikio.
 
ben pol alikuwa anaimba nyimbo za CCM?
hata kama alikuwa anaimba, it was business, yeye ni msanii, akihitajika, hachagui wateja
Mbona nyimbo ya snura mliifungia kama sanaa ni kujipatia kipato bila kujari wapi na nani unamfanyia?
Msiupotoshe umma kuwa eti unaweza kuwa support majambazi na magaidi kwa kuwaimbia nyimbo nzuri na kuwashawisho watu kisa wewe msanii upate kipato. Vipi kuhusu maisha ya wengine?
 
mimi nani sasa, mimi niliifungia? upo nje ya point
 
ben pol alikuwa anaimba nyimbo za CCM?
hata kama alikuwa anaimba, it was business, yeye ni msanii, akihitajika, hachagui wateja
Kitendo cha kuimba tu tayari aliisapoti CCM. sasa aendelee pia kufanya business kwa kuimba ule wimbo wa komba unaoanza hivi

"""Wacha waisome namba eeeee
Ccm namba one""""""

Na bado na sisi tumegoma kwwnye shoo zao hatuendi
 
Ben pol wakati wa kampeni alikuwa upande gani? upande wa push up au wa wazungusha mikono?
 
hapo ndio diamond anapowapiga bao yeye anapiga mi show ya nje tu. Mdororo wa uchumi ushuzi yeye haumua affect
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom