MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Leo usiku mzima sijalala,nilikuwa nafikiria inawezekanaje mtoto mzuri kama huyu kushika mashine za udj bila kuchubuka wakati biskuti tuu hawezi kuvunja.Anyway mwenye namba zake anisaidie nataka kupeleka singo yangu pale mjengoni