Hivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama...
Baada ya kazi ngumu ya kulitumikia Taifa kama Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Waziri Nape Nnauye hapa anaonyesha kipaji chake kingine cha kupiga gitaa na kuimba. Kazi na dawa waungwana.
Wakati tukiendelea na stori za views kununuliwa, kijana wetu asiyechoka kusaka pesa anakuletea kitu kipya, kitu maridadi, CHIBU PERFUME #THESCENTYOUDESEVE.
Diamond Platnumz ni mmoja wa wasanii wakubwa barani Afrika kwa sasa. Siku za hivi karibuni alipata nafasi ya kushiriki tamasha la muziki la Coke Studio Afrika kusini ambapo alitengeneza wimbo...
Mzee wa Ubuyu, Soudy Brown kafanyiwa interview na TBC amabapo ana dai ndio sehemu iliyomlea amefungukia aanvyotukanwa instagram na anavyochulia.
Pia amesema anapenda kuvaa mask kama swag tu, na...
Sikuwahi kusikiliza nyimbo za huyu jamaa, kama bahati kupita pita youtube nakutana na nyimbo ya jamaa inayokwenda kwa jina la "ibaki story" nimejikuta natafuta nyimbo zake za nyuma, kwa kifupi...
Take little look ya hizi video mbili ya ommy alioachia wiki imepita na video ya cokestudio walioachia cku tatu kama cyo mbili zilizopita,l
Video ya ommy INA views 611k na video ya coke studio...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Anti Ezekiel amefunga ndoa Kimya Kimya siku moja baada ya kuomba msamaha kwa kuvaa nguo iliyoonyesha kufuli lake.
Hapa ni baada ya kufunga ndoa tayari.
Hapa...
Chekibud anadai mwanamke anamsingizia kuwa mtoto ni wake kwa kuwa wanafanana anadai anafanana na watu wengi na sio watoto wala ndugu
mwanamke anadai walikutana club billicanas wakafanya kwa usiku...
Nikimuona Diamond na kina Kiba na wanamuziki wengine wakila bata najua ni mziki wao unawalipa. Ila kuna hawa watu maarufu huko Instagram kama kidada fulani Tunda na wengine, picha zao zimekaa...
Msanii wa Bongo Mobie Nisha amedai ana mimba inayotokana na kubakwa.
Anadai alibakwa kwa sababu mpenzi wake huyo alimrubuni kisha kumuingilia kwa nguvu, anaongezea hilo linaonekana ni jambo la...
Msanii Man Fongo amedai BASATA walitaka kufungia waimbo wake wa hainaga ushemeji lakini akawatuliza na kuwaambia hayo ni mambo ambayo yapo labda wenyewe wanaishi nyakati zilizopita ial kwa sasa...
Clouds ikiongozwa na mkurugenzi wao RUGE walisusa kupiga nyimbo za mwanamziki Rubby kama walivyofanya kwa LADY JD kutokana na Rubby kuwagomea kufanya show ya FIESTA kutokana na malipo madogo...
Msanii wa kitambo wa bongo flava, Hakeem5 akiulizwa kuhusu ushauri aliopewa na Abby Skills kuhusu kumuomba msamaha Ali kiba amedai katu hawezi kufanya jambo hilo
Amesema yeye aliongea ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.