Baada ya Mtv ema kumpatia Alikiba tuzo ya african act kutoka kwa Wizkid ,mashabiki wa Tanzania hasa wa Alikiba wamevamia ukurasa wa Instagram wa star huyo wa Nigeria na kumtukana.
Leo Wizkid...
Msanii wa filamu za kibongo, Kajala Masanja amevunja ukimya na kufunguka kuhusu maneno yaliyokuwa yanazunguka mwa muda mrefu mitaani yakimtaja kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa nyakati tofauti...
Calisah aliwekewa mtego alipoenda kwa wema kuomba msamaha, kufika akadakwa na polisi waliokuwepo hapo na kuambiwa atoe simu yenye video za utupu
alidai hana simu na kupelekwa kisha kusekwa rumande
Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali.
Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi...
Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi...
Jamani huyu dada ananikosha Sana sauti yake, nataman nimfahamu sura yake ikoje, nilishawahi kumuuliza mtu anipe picha yake akanipa picha ya dj sinyorita bahati nzuri nilikuwa namfahamu, please...
Kibosile aliyekuwa anam sponsor mrembo Tunda, ikiwa ni apamoja na kumjengea nyumba ya milioni 100 , gari pamaoja na kumpa fedha nyingi za matumizi amemtema
Hii ni baada ya kugundua mrembo huyo...
Magwiji wa mitandao nchini Tanzani walishindanishwa katika mtandao wa twita katika kipengele cha anayeandika mambo yakuudhi zaidi Tanzania....
Mwana jf Yericko Nyerere ametangazwa leo mshindi...
Habari wana JF,
Msanii mkongwe nguli Inspector Haroun Babu aka Tripple 5 ameanza kuisoma namba.Tukio la aina yake lililoacha watu vinywa wazi ni pale alipoandaa show kabambe ukumbi wa Buswelu pub...
Kwanza kabisa napenda kukupongeza juu mafanikio uliyoyafikia kimuziki na kimaisha,,na pia nikupongeze juu ya maamuzi yako ya kuanzisha label ya WCB na kuwekeza mamilioni ya mapesa ili kuwezesha...
Mwanzilishi wa THT na Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa clouds FM, Ruge Mutahaba amesema kuwa licha ya Ruby kujiondoa kutoka kwenye usimamizi wake hawezi kushuka kimuziki sababu ana kipaji...
Muziki wa Bongo unaendelea kukua siku hadi
siku na kutambulika kimataifa, kutokana na kazi
za wasanii wetu kuendelea kushika chati
mbalimbali kwenye vituo vikubwa vya kimataifa
hadi kufika...
Baada ya Diamond kufanya marejeo ya wimbo wa Salome wa Dada Saida kalori.Uongozi wa Diamond uliamua kumlipa meneja wa Saida kalori kiasi cha shilingi milioni 25 huku Dada Saida kalori akiambulia...
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James aka PJ ameshtakiwa mahakamani na kituo cha redio cha EFM kwa kuvunja mkataba kinyemela
Mtangazaji huyo aliondoka EFM mwanzoni mwa mwezi huu na kurejea kwenye...
Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata...
Jamani huyu dada alivuma sana lakini sijui nini kilimkuta na ghafla akapotea na naskia hayuko hata vizuri kiuchumi. Nashangaa kwasababu alipiga sana show kubwa lakini bado hakuwa sawa kiuchumi...
Muimbaji huyo amedai hizo asilimia 25 za mapato za wimbo ‘Salome’ ambazo zilielezwa na viongozi wa WCB hazijui kwa kuwa hakuhusishwa kwenye hilo.
“Tatizo limekuja kwa meneja wangu aliyempatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.