Alikiba atoa tamko , awataka mashabiki waache kumtukana Wizkid aseme yeye ni shabiki wa Wizkid

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Hatamae Alikiba ametoa tamko rasmi kuwataka mashabiki wake kuacha kumtukana Wizkid kwenye mitandao , hii imetokana na alikiba kupewa tuzo ya mtv ema aliyokuwa amepewa mwanzo wizkid
Mashabiki hao walivamia ukurasa wa Wizkid na kuporumosha matusi mazito.
Alikiba amesema Wizkid ni msanii alefanikiwa zaidi mwaka huu na yeye ni mmoja wa mashabiki zake
1478884740753.jpg
 
Angekaa tu kimya ingemsaidia. Kama kaponda watz wanaomponda huyo jamaa yake ndo mwanzo wa kujichimbia shimo mwenyewe.

Kimya ni kinga nzuri sana kibiashara, though me siyo fan wa haya matakataka, so called bongo fleva:cool:

Ali Kiba na team yake walitakiwa kufanya walichofanya, huwezi kuji associate na watu wanaofanya ujinga kama ule.

Professionally alitakiwa kufanya hivyo, otherwise na wewe ni among hizo team MAVI.
 
Hatamae Alikiba ametoa tamko rasmi kuwataka mashabiki wake kuacha kumtukana Wizkid kwenye mitandao , hii imetokana na alikiba kupewa tuzo ya mtv ema aliyokuwa amepewa mwanzo wizkid
Mashabiki hao walivamia ukurasa wa Wizkid na kuporumosha matusi mazito.
Alikiba amesema Wizkid ni msanii alefanikiwa zaidi mwaka huu na yeye ni mmoja wa mashabiki zake
View attachment 432652

Kidoti anahusika ktk kuandika hii Post
 
haya wale waliokuwa wanasema ajishushe kwa wizkid kwani yeye nani! haya ongeeni sasa
 
Back
Top Bottom