Diamond baada ya kufukuzwa vevo amerudi kupost video zake kwenye account yake ya kawaida. Vevo wamemtimua. Wanataka wanamuziki wazuri wa kimataifa kama wizkid na davido. Pia hawataki msanii...
Leo ngoja niwe muwazi kabisaaa..<br /><br />Nahreel we moja ya maproducer classic na wenye vipaji vikubwa sana hapa bongo.<br />Tangu nilipoanza kuskia midundo yako kipindi unampigia joh makin...
Msanii gwiji Mond, Dangote, Chibu, D'billion na majina mengine kibao anayojiita je anakumbuka huku alikotoka.
KIJANA YEYOTE KIJANA MWENZANGU TIA BIDII LOLOTE UNALOFANYA MUNGU ANAKUONA NA IPO SIKU...
```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```,
*mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,*
*mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.*
*Mgeni...
Kiukweli mimi ni shabiki wa damu wa dokii tangu enzi na enzi ,ila kwa hili la sasa la kusaini kwa hawa watafuta kiki (Timamu Comedians ) aisee nimemshusha vyeo sana
Dokii ana jina kubwa sana so...
Aman ya bwana iwe nanyi wakuu wa jukwaa letu pendwa
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Lameck ditto ni mshikaji wangu kitambo sana tena mimi namkubali sana kwakwel, lakin jamaa kajichanganya...
Mnaweza mkanikosoa tu wadau lakini nimekua na naendelea kufatilia kukua na kushuka kwa mziki wetu "BongoFlava" lakini pia nafatilia sana mziki kutoka "Nigeria" SouthAfrica" pamoja na huko "Mbele"...
Mwimbaji TID aka Mnyama kama anavyopenda kuitwa, ametishia kutinga katika kituo cha kati cha polisi jijini Dar es Salaam kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya Quick Rocka na kundi la OMG.
TID...
Nahitaji jibu huyu jamaa yuko wapi siku hizi maana hasikiki kabisa au tayari kapuni na vipi zile show zake za ugaibuni kaisha maliza
masikini kiba hasikiki tena so sad kweli
Hatimaye......Rayvanny Winning BET AWARDS 2017
.
.
Ila tujikumbushe kidogo....mnamo tarehe 9 June[emoji116] .
EAST AFRICA TV & RADIO watilia shaka uwepo wa @Rayvanny kwenye Tuzo za BET .
.
SHAKA...
Nawashauri Polisi endapo TID akija Polisi kuleta sijui malalamiko ya nini, awe kama kawarahisishia kazi ya kumkamata maana alidanganya kuwa kaacha matumizi ya dawa za kulevya wakati kwa sasa ndio...
Naomba nikiri kwamba me ni shabiki namba moja wa Diamond,Lakini dah! kiukweli kwa ule ukimya wa mda mref kutoka kwa diamond nilitegemea akirudi safari hii hatakua level zile tulizomzoea za kufanya...
BET has just announced Wizkid as Winner of the Best International Act – Africa Award in a special ceremony held in Los Angeles, beating off stiff competition from Davido, Mr Eazi, Tekno...
ALIKIBA - SITAKI MTU ANIINGILIE KATIKA MIPANGO YANGU, MIMI SISHINDANI NA MTU . . Mwanamuziki mahiri nchini Tanzania, Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye katika muziki wake hakuna mtu...
Akiongea na mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds , mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za utamaduni kutoka Kagera, amemlalamikia meneja wake kumsainisha mikataba mbalimbali ya kikazi ilhali alikuwa...
I heard this.
Back in the day, Jay used to be very tight with Dr Dre. Jay wanted "clearance to the West" (security), specially after having been dissed by the GOATPac Shakur who rep'd the West...